Defensive tulizubaa sana, naona hata Arteta anasema hatukuwa na energy tukidefend.Naona Arteta anajitahidi kwa kweli. Magoli yalikuwa enjoyable yaani kuanzia la Odegaard hadi la Martinelli. Kabla mabeki hawajaelewa kinachoendelea wanajikuta wanaokota mpira golini. Hii mimi napenda. Kuna mambo kwenye mechi yaliniudhi ila leo nipo katika kufurahia 3 points zaidi so sitakosoa yeyote wala chochote 😀😀 acha tule bata vijana wa asenali tumeteseka sana na kwa huyu Arteta hatuna uhakika kwamba mateso yameisha.
Ni kweli, among other things. Ila kwa mechi hii najitahidi nisiseme chochote hasi.Defensive tulizubaa sana, naona hata Arteta anasema hatukuwa na energy tukidefend.
Mungu ajalie tumpate de jong wa Barca asimame nafasi ya xhakaOngea wewe, mimi nishafunika hili suala, partey ni hatari mnoo, angekuwa na mtu wa kariba ya cazorla aisee arsenal hii ingekuwa unakunywa chai hutii sukari.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Hivi hakuna Cazorla type kabisa amabye tunaweza kumpata kupiga hiyo kazi?Ongea wewe, mimi nishafunika hili suala, partey ni hatari mnoo, angekuwa na mtu wa kariba ya cazorla aisee arsenal hii ingekuwa unakunywa chai hutii sukari.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Swali ni Je Barca wanauza!?Mungu ajalie tumpate de jong wa Barca asimame nafasi ya xhaka
sahau hilo ndugu, najua humkubali huyu mwamba, ila labda arteta aondoke, magalhaes ndio beki ambaye arteta alimleta kwa ajiri ya project, akatafutwa partner wake ambaye ni whiteSaliba will replace Gabriel magalhães.
Gabi anahitaji maturity tu kiasi fulani ila jamaa ni beast. Akiwa mikononi mwa kocha bora huyu atamfikia VVD wa Liverpool nadhanisahau hilo ndugu, najua humkubali huyu mwamba, ila labda arteta aondoke, magalhaes ndio beki ambaye arteta alimleta kwa ajiri ya project ya project yake, akatafutwa partner wake ambaye ni white
hata wengi wana propose ujio wa saliba aje atengeneze back 3 , ila sio kumtoa nje gabriel,
na sioni arteta akirudi kwenye back 3,
upo sahihi ndio maana arteta amewachukua wakiwa umri mdogo tu, hata white bado anahitaji kujifunza vingi, ni mbovu 1v1,Gabi anahitaji maturity tu kiasi fulani ila jamaa ni beast. Akiwa mikononi mwa kocha bora huyu atamfikia VVD wa Liverpool nadhani
kama anauwezo aje apambane. Nahisi tunamuongezea mkataba hata hivyo. Kuna kupata injuries pia na ni vizuri ukimkosa mmoja mf. white, saliba aingie na tusione pengo. kama sasa hatuoni pengo la tomiyasu. iwe hivyo kwa nafasi zingine pia.upo sahihi ndio maana arteta amewachukua wakiwa umri mdogo tu, hata white bado anahitaji kujifunza vingi, ni mbovu 1v1,
hadi sasa hatujafungwa goli la kona toka ligi ianze, cha kwanza kabisa arteta aliangalia urefu , magalhaes ana 1.9m , white ana 1.82, tomiyasu 1.88
saliba atarudi kuongeza depth na huenda akamtoa mmoja wao kwasababu naye ni mrefu 1.9m, na itambidi aendane na kasi ya epl, but sina wasiwasi na uwezo wake,
saliba anarudi ,arsenal imekuwa ikituma wawwkilishi kuwafatilia wachezji walio kwa mkopo, maendeleo yao, ndio maana smith rowe aliporudishwa akapewa na namba 10 kabisa, saliba ule uwezo anaouonesha ligue 1,akiukopi epl, ni moja ya top 3 back in epl,kama anauwezo aje apambane. Nahisi tunamuongezea mkataba hata hivyo. Kuna kupata injuries pia na ni vizuri ukimkosa mmoja mf. white, saliba aingie na tusione pengo. kama sasa hatuoni pengo la tomiyasu. iwe hivyo kwa nafasi zingine pia.
Ni kweli, binafsi siwezi kumkubali mchezaji mwenye mental issue hata dakika moja, mchezaji ana miaka miwili sasa lakini muangalie in possession anapanic, hana confidence, always underpressure, he is not calm, progression zero, jana build up ya goli la Saka alikuwa kadispossess mpira ni juhudi binafsi za Bukayo Saka, kuna wachezaji wanafichiwa makosa na Setup + other players.sahau hilo ndugu, najua humkubali huyu mwamba, ila labda arteta aondoke, magalhaes ndio beki ambaye arteta alimleta kwa ajiri ya project, akatafutwa partner wake ambaye ni white
hata wengi wana propose ujio wa saliba aje atengeneze back 3 , ila sio kumtoa nje gabriel,
na sioni arteta akirudi kwenye back 3, tena sitashangaa arteta akamuongeza mkataba saliba , then akampiga bei, kumbuka ile sio sajiri yake, ilikuwa ya klabu , hata emery alisajiriwa tu.
uwezo aliouonesha magalhaes had sasa, ni ngumu kurudishwa benchi,
hizo sifa mbaya kwa gab unazosema mimi binafsi sizioni kiasi hicho, na amekuws moja ya wachezaji bora hadi sasa msimu huu, lait huo udhaifu unaousema kwa gabi ,sidhani kama tungekuwa hapa tulipo, kila mwez amekuwa hakos kwenye list among best player ,Ni kweli, binafsi siwezi kumkubali mchezaji mwenye mental issue hata dakika moja, mchezaji ana miaka miwili sasa lakini muangalie in possession anapanic, hana confidence, always underpressure, he is not calm, progression zero, jana build up ya goli la Saka alikuwa kadispossess mpira ni juhudi binafsi za Bukayo Saka, kuna wachezaji wanafichiwa makosa na Setup + other players.
So William Saliba will replace Gabriel easily, mark my words. kinachombeba Gabriel kwenye LCB kuwa huyu ni left footed player and not otherwise, Arteta wanted a left footed player thats why akaenda kwa Gabriel ila in a meantime Saliba performance on that LCB ndio inamuondoa Gabriel kwenye best X1, Subiri uone mkuu kuwa Gabriel won't be our starting CB in the coming seasons.
ile staili ni ya mane tu?au mane anaitumia tu..Wana gunners, hivi kwanini Saka ameshangilia kama Mane kwenye goli lake?
Maturity miaka miwili yote bado hajapata? Muangalie Benjamin White ana muda gani Arsenal? Muangalie White in possession namna alivyo Calm, Confident hata akicheza aggressive passes mtu unajiamini zitafika. Sasa muangalie Gabriel hawezi kuprogress mpira either apige backpass au side pass, no central progression akijaribu ujue kadispossess, Mimi Gabriel akishika mpira huwa najiandaa kwa lolote, tatizo lake ni mental hana tofauti na D. Luiz / Mustafi.Gabi anahitaji maturity tu kiasi fulani ila jamaa ni beast. Akiwa mikononi mwa kocha bora huyu atamfikia VVD wa Liverpool nadhani
sio kweli usemacho, halafu gab sio ball playing dfnd, kama white, wote wana profile tofauti,Sasa muangalie Gabriel hawezi kuprogress mpira either apige backpass au side pass, no central progression akijaribu ujue kadispossess
Gab ni beki mzuri sana tu, ameshakuwa beki bora huko ligue one, tatizo wewe unaenda kumuangalia gab atakosea nini,Maturity miaka miwili yote bado hajapata? Muangalie Benjamin White ana muda gani Arsenal? Muangalie White in possession namna alivyo Calm, Confident hata akicheza aggressive passes mtu unajiamini zitafika. Sasa muangalie Gabriel hawezi kuprogress mpira either apige backpass au side pass, no central progression akijaribu ujue kadispossess,
hizi sifa mbaya unazompa gab, kama ingekuwa kweli, bas arsenal wangekuwa na malemgo ya kurud sokoni wanunue top CB, lkn huo mpango haupo, anarud salibs, trusty,Sasa muangalie Gabriel hawezi kuprogress mpira either apige backpass au side pass, no central progression akijaribu ujue kadispossess