Watajua wenyewe, ni kweli combination ya Partey na Xhaka imekuwa nzuri so far, lakini ana maboko ya kizembe sana, game ingeisha kwa draw lawama zingeangukia kwake leo.Mkuu angalia Kuna team Xhaka humu watakuvagaa vibaya sana, wao Waga hawaoni makosa ya kijana wao mpendwa yanayo igharimu team mara Kwa mara
Hawa wote wapo kwenye form sasa hivi, ni kweli 6-7 points itakuwa achievement nzuri.Next Games Leicester City Liverpool and Aston villa (point 6 au 7 )zitamtosha Arsenal kuwa nafasi ya kipekee kabisa kuwa Top 4 before games za viporo
Jinsi ya kumfunga watfordTujifunze nini?
Gabdiel naye inabid awe makini sana kwenye upigaji wa pasi, bao la saka alikua katoa pasi mbovu sana na alikua eneo baya sana kama yule mchezaj wa watford angekua shap angepiga pasi moja ambayo ingeenda kuleta madhara makubwa mnoXhaka anatucost na atatucost kama ataendelea kuzalisha machungwa day in day out.
Tumeshinda kazi tumeimaliza ngoja tuwaone united.
achana na huyo jamaa hajui anataka niniLeo ndio unaona mpira mbovu alikuwepo kipindi cha Emery tu?? Ni wewe hapa ulikuwa ukibishana na wadau kwamba Arteta sio kocha. Ukafikia kuhamia PSG. Hebu toka hapa tena wewe unapaswa unyamaze kabisa! Nenda zako PSG huko
Najaribu kuwaza msimu ujao tukampata de Jong akacheza nafasi ya xhaka! Maana upande wa kulia unachangamka sababu ya umahiri wa odegaardSo far left wing na left back bado hawajachangamka. Matatizo yote yanayokea huko
Hukujibu my question ukaingia mitini that's good huwa napenda nikuulize swali uingie mitini welcome back broachana na huyo jamaa hajui anataka nini
De Jong yupi bro?wa Barcelona?kahusishwa na Arsenal?Najaribu kuwaza msimu ujao tukampata de Jong akacheza nafasi ya xhaka! Maana upande wa kulia unachangamka sababu ya umahiri wa odegaard
Nilimuona kipindi kileee mlivyokuwa mnamuelez na alivyokuwa anamnanga Arteta sana Leo kageuka. Kama anajielewa japo kidogo ni Bora tu akae kimyaachana na huyo jamaa hajui anataka nini
Yeah hizo tetesi nilizipataDe Jong yupi bro?wa Barcelona?kahusishwa na Arsenal?
Na huu ndio ujinga wako. Eti Lukonga ni trash. Sijui mnaangalia mpira kwa macho kama yetu au mnatumia pua kutazamia mpira labda wenzetuHukujibu my question ukaingia mitini that's good huwa napenda nikuulize swali uingie mitini welcome back bro
Badili jina lako la huyo trashunayejiita tumeshamsahau kama yupo kwenye squad
Ok bro tufuzu champions league hao Big players tunaweza kuwapataYeah hizo tetesi nilizipata
Kwangu ni trash binadamu tumeumbwa kukubaliana kutokubalianaNa huu ndio ujinga wako. Eti Lukonga ni trash. Sijui mnaangalia mpira kwa macho kama yetu au mnatumia pua kutazamia mpira labda wenzetu
Naona unataka kubishana na Mimi kuhusiana na Arteta nirudie ya zamani tusubirie May 2022 siku msimu ukiisha kurudia rudia maneno haipendezi bro tukubaliene kutokubaliana that's itNilimuona kipindi kileee mlivyokuwa mnamuelez na alivyokuwa anamnanga Arteta sana Leo kageuka. Kama anajielewa japo kidogo ni Bora tu akae kimya
Saw mkuuKwangu ni trash binadamu tumeumbwa kukubaliana kutokubaliana
nikusaidieje?Hukujibu my question ukaingia mitini that's good huwa napenda nikuulize swali uingie mitini welcome back bro
Badili jina lako la huyo trashunayejiita tumeshamsahau kama yupo kwenye squad
GROUP A champions leaguenikusaidieje?