Tatizo unachukulia tunabishana. Mtu akisema tunabishana mi hua namuacha kwakua mi hua sichukulii nabishana.Sawa, i challenge you to learn more wala si vinginevyo, tukipunguza kuongea in a general overview tukaingia deep structurally itakuwa a big step ahead.
Inawezekana unapenda kuandika mkuu, mimi sipendi kuandika na nikiandika napenda tuelewane haraka ili twende na flow, lakini nikiona anaingiza topic nyingi nyingi kati nadhani anataka mabishano, naacha. That's why naencourage tuelewe game kwenye dimension moja inaleta urahisi hata kuArgue.Tatizo unachukulia tunabishana. Mtu akisema tunabishana mi hua namuacha kwakua mi hua sichukulii nabishana.
Man to man marking < Zonal marking, anaonekana hana profile sijui Maana wanafungwa goli nyingi mno City 7-0, Arsenal 5-1, Liver 6-0, United 4-2, Spurs 4-0Huyu Leeds atarudi championship..
Week after week ni vipigo tu..
Huyu Bielsa aachie hii timu na akalee wajukuu ili kulinda heshima.
Ni furaha!Sikutarajia Watford asaidie kupunguza speed ila amefanya hivyo.
Kazi ni kwetu.
Tushindwe tu wenyewe kwa kweli maana mpana nafasi ya 3 pia inaonekanaSikutarajia Watford asaidie kupunguza speed ila amefanya hivyo.
Kazi ni kwetu.
Halafu kesho ni Wolves na Westham.Ni furaha!
Acha tusubiriTushindwe tu wenyewe kwa kweli maana mpana nafasi ya 3 pia inaonekana
Hawa Vijana Wa Manchester Wangeachana Na Mpira Tu Wakaisaidie Ukraine
Ukitumia akili, itanielewa nini namaanisha
Nolito, Bravo, Mendy, Nathan Ake kawanunua Pep guadiola mwenyeweNolito & Bravo sio wachezaji wa Pep, Mendy kasumbuliwa na injury ila kashashinda Premier league in his first season with City, Rwkodi inaonesha Msimu wa 2018-19 aliweka Assist 5 kwenye mechi 10 kabla hajapata injury.
Vzuri as cSikutarajia Watford asaidie kupunguza speed ila amefanya hivyo.
Kazi ni kwetu.
Tuna Liva na wenzake huko mbele. Ni kuhakikisha hizi games na Leicester and the like tunazishindaIf Arsenal will fail to secure top 4 position itakuwa ni Maajabu ya karne na wachezaji na kocha watastahili Big punishmentkwa Table ilivyo up to now itashangaza sana tumetafuniwa chakula imebakia kukimeza that's it
Westham wana Liver, Chelsea, Manshit, na Sisi to playTuna Liva na wenzake huko mbele. Ni kuhakikisha hizi games na Leicester and the like tunazishinda
Nani huyo mkuu?Kikosi cha mwisho kucheza Champions Legue kin amchezaji mmoja tu amebaki. Wenhine wote gone