wapumzike kidogo tuanze upya. mawazo yangu ni odegaard anabidi apate mipira zaidi. saka na martinelli wanabidi wafanye runs ila naona saka hayuko kwenye mood. Partey aache kushoot 😃😃 na xhaka anabidi aongeze sharpness. Timu nzima iongeze tempo kidogo maana leo hatuwezi kufunga kwa kuspread mpira wide na kucross, lazima twende kwa runs in behind na one touch passes kuingia na mpira ndani ya box au nje kutafuta shots. ila lazima tuwe sharp na tempo iwe juu.