Saka kupelekwa RW ni baada ya Pepe kufeli, Saka now he is second best to Mo salah on that role, ipo wazimimi bado napenda saka wa left side zaidi ya right kwa crosses zake za enzi za emery. ila akiwa right side pamoja na kutokuwa na zile cross ameendelea kuwa tishio kwa magoli
ESR natural position kwake ni central mkuu, ni competition ndio imempeleka LW, angalia timu za vijana au hata alivyoenda mkopo Huddersfield & RB leipzig kote amepita central, hata last season tumestruggle na AM paka Arteta akaona amuintroduce huyu dogo central. Na kinachoenda kutokea ni kuwa ESR/Γ next season watacheza kama 8s ikiwa tunacheza 433.Mimi nikisema natural position hua namaanisha ile nafasi ambayo kaanza nayo na ndiyo alikua comfortable nayo.
Mfano Saka alikua RM na viungo wa pembeni wengi sana wamekua mabeki mfano wa haraka haraka ni Alphonso Davies na Achraf Hakimi. Hata Saka alipoanza kuchezeshwa kama LB mi nikajua anafuata suite ya Viungo wa Pembeni wengine.
Halafu Wingers wengi wamekua CAM mfano Grealish akiwa Villa amecheza kama AM ila City amerudishwa natural position ya LW as AM ina Kevin. Buendia pia naturally ni winger ila Norwich ikamtumia kama AM na Villa kaenda kama AM.
Nimeona comment ya Aaron Arsenal akimquote Arteta akielezea nafasi Emile anaweza kuzimudu sana na Wings zimetajwa, ni rahisi winger kua kiungo kwakua wingers hua na pace na skills so ni rahisi kwao kutoboa katikati. Nafikiri ndiyo maana Arteta yuko tayari kumuweka kati Emile kuliko Saka
Saka hana mbio, huwezi kuwa serious, ile through ball ndio ilikuwa the best option, kwenda kwa kina lacazette ni better, kinachomuhukumu hapa ni kwa kuwa hajafanikiwa.Hapa nakubaliana na Will Jr ,nafikiri partey alitakiwa aende kwa laca na ode pale. siyo tu kwa sababu walikuwa open ila pia kwa sababu mimi naona kama saka hana mbio na hata mpira ungepita asingeufikia. sidhani kama saka anafaa kwa throughballs za namna hii zinazohitaji kasi. ingekuwa pepe au martinelli hapo ni habari ingine maana wana mbio.
Ndiyo nimejua leo kuwa nilikuwa nakosea kumuona hana mbio kumbe yuko poa tu kwa mbio. Sasa mentality yangu imebadilikaSaka hana mbio, huwezi kuwa serious, ile through ball ndio ilikuwa the best option, kwenda kwa kina lacazette ni better, kinachomuhukumu hapa ni kwa kuwa hajafanikiwa.
Haina tabu chief.Ndiyo nimejua leo kuwa nilikuwa nakosea kumuona hana mbio kumbe yuko poa tu kwa mbio. Sasa mentality yangu imebadilika
Ndio vitu unapenda mkuu, bahati mbaya zingine zinagoma ni mbaya sana kwa mtu km ParteyUmeicheki video mkuu!? Hiki ndio nakipenda awe nacho midfielder.
hapa sijui atasema refa alikuwa amemblock?Ndio vitu unapenda mkuu, bahati mbaya zingine zinagoma ni mbaya sana kwa mtu km ParteyView attachment 2127163
Yupo too risky mkuu, Xhaka ananyoosha mkono kule yeye anaforce aggressive penetration.hapa sijui atasema refa alikuwa amemblock?
xhaka alikuwa obvious choice. angempa ball kwenye carpet hata ashoot.Yupo too risky mkuu, Xhaka ananyoosha mkono kule yeye anaforce aggressive penetration.
Wazee Saka ana speed kuliko wachezaji wote pale isipokua TavaresSaka hana mbio, huwezi kuwa serious, ile through ball ndio ilikuwa the best option, kwenda kwa kina lacazette ni better, kinachomuhukumu hapa ni kwa kuwa hajafanikiwa.
alikuwa ananicorrect. google inasema tierney ndiyo fastest at arsenal. so basi itakuwa 1. tierney, 2. tavares, 3. saka ....Wazee Saka ana speed kuliko wachezaji wote pale isipokua Tavares
Haya bro. Hata hivyo ana qualities za kusimama kama 8 so siyo tatizo akiwa 8. Arteta alimleta baada ya kelele za Ian Wrighty lakini mwanzo alikua amechagua kufa na imani yake.ESR natural position kwake ni central mkuu, ni competition ndio imempeleka LW, angalia timu za vijana au hata alivyoenda mkopo Huddersfield & RB leipzig kote amepita central, hata last season tumestruggle na AM paka Arteta akaona amuintroduce huyu dogo central. Na kinachoenda kutokea ni kuwa ESR/Γ next season watacheza kama 8s ikiwa tunacheza 433.
Tierney na kishada kweli na nafikiri hizo stats ni za all around the year. Nilizokutajia ambazo Saka alipata 94 Tierney majeraha yalikua yamemshika.alikuwa ananicorrect. google inasema tierney ndiyo fastest at arsenal. so basi itakuwa 1. tierney, 2. tavares, 3. saka ....
Ile thru ball ni bonge la option. Mimi juzi nilisema hatuchezi 4 3 3 kwa sababu hatuna viungo wa aina tatu watakaotawala dimba.Saka hana mbio, huwezi kuwa serious, ile through ball ndio ilikuwa the best option, kwenda kwa kina lacazette ni better, kinachomuhukumu hapa ni kwa kuwa hajafanikiwa.
inaweza kuwa tava, tierney, saka. natamani speedsters waongeke arsenal lakini.Tierney na kishada kweli na nafikiri hizo stats ni za all around the year. Nilizokutajia ambazo Saka alipata 94 Tierney majeraha yalikua yamemshika.
So yeah naamini Tierney ana speed kuzidi Saka ila kwa Tavares sina uhakika.
Ode na Emile wakistep up kwenye pace mbele patachangamka zaidi ya sasa. Ndiyo maana wakati mwingine naona kama inawezekana tuwanyang'anye Villarreal Boulaye Dia.inaweza kuwa tava, tierney, saka. natamani speedsters waongeke arsenal lakini.
afu Castr vipi true crime thread mbona imekuwa kama career ya aguero?
Ule uzi nilianzisha nikiwa na mawazo na nikatoa angalizo π π πinaweza kuwa tava, tierney, saka. natamani speedsters waongeke arsenal lakini.
afu Castr vipi true crime thread mbona imekuwa kama career ya aguero?
wale madogo me nawaona ni ramsey wengine tu wale. ubunifu upo na vichenga chenga vipo ila spidi sasa. bora hata emile lakini.Ode na Emile wakistep up kwenye pace mbele patachangamka zaidi ya sasa. Ndiyo maana wakati mwingine naona kama inawezekana tuwanyang'anye Villarreal Boulaye Dia.
πππ fanya mpango aisee.Ule uzi nilianzisha nikiwa na mawazo na nikatoa angalizo π π π
Sasa hivi yamezidi hadi akili haifanyi kazi