Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Gabriel Martinelli has been playing as a #9 in training sessions at London Colney. [@ChrisWheatley_]
Waja watakubishia, ila kuwa CF kuna vingi sana Mchazaji anahitaji kuwa navyo.martinelli bdo san kucheza kama target man ,uyo n winger.. anawez kufunga kutokea pemben au akafany runs z hatar z kuingia kwnye box kw ajil y ku score.
chechemea na ww kama ni rahaKwa kuchechemea
lukaku tumemleta kuwafunga nyie2 ngoja uone msm uu unapigwa ndan njeKombe letu ni kuifunga chelsea na united.
kwenye pes na fifa ni rahs ila ukisubr uhalisia utakua ushaanza kua udongoI hope siku moja nitaona final UEFA Arsenal vs Barca / Arteta vs Xavi hernandez na wote wakiwa kwenye ubora mkubwa.
Unanunua mshambuliaji kwa 100 M.lukaku tumemleta kuwafunga nyie2 ngoja uone msm uu unapigwa ndan nje
mwisho mwa msimu ukifika tutaulizana umetoka na nnUnanunua mshambuliaji kwa 100 M.
Unapata kombe la plastiki lililotengenezwa lifanane na la dunia.
Muda huo unashangilia City anaongeza gape la points mpaka kufikia 16 katika michuano ambayo ina kombe ambalo it really matters
Rice au tchouameni hawawezi kwenda timu ovyo kama arsenalOy wazee kama tunafuzu UCL Declan Rice huyo hapo mezani, si nasikia kuna 180m. Weka Rice/ Tchouameni, CF mkali na RB wakusaidia Tomiyasu mambo yapambe moto.
Sasa tangu aje mimi nimepata makombe mangapi?mwisho mwa msimu ukifika tutaulizana umetoka na nnww umemnunu pepe kale kwa80 kakupa nn mm tayar nna kombe2 ndan ya kabat
Wanaweza kuja timu bab kubwa kama unitedRice au tchouameni hawawezi kwenda timu ovyo kama arsenal
Siriyaz mkuu nicheki hewani kwenye hii no yangu, 0768246184Nipo Chuga weekend hii, tutafutane