Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta kajitahidi sana kujenga solid defensive unit, naamini next season ataweka kipaumbele kwenye striking force, rumours are that Lacca won't be offered a new deal, but reinforcement will be made hasa no.9 anayeweza ku guarantee 20+ goals per season.TAKWIMU :
Arsenal wameruhusu magoli 3 tu katika mechi 7 za mwisho kwenye EPL huku magoli 2 yakiwa ya penati.
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?Arteta kajitahidi sana kujenga solid defensive unit, naamini next season ataweka kipaumbele kwenye striking force, rumours are that Lacca won't be offered a new deal, but reinforcement will be made hasa no.9 anayeweza ku guarantee 20+ goals per season.
Timu ikifuzu CL ni rahisi kuvutia strikers wazuri, apart from that we'll be dealing with the mediocre tu!EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
kwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.kEPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
Auba alikuja Arsenal ya Wenger ambayo kiukweli Champions league kuplay ilikuwa ni jambo la kawaida kwa sasa nyakati zimebadilika Arsenal hii ambayo kucheza Champions league ni ndoto kuna mdau kauliza ni player yupi kwa sasa anayeweza kuja Arsenal akaoffer 20 plus goals ni hakuna may be Arsenal this season afuzu Champions league otherwise tutapata forward wa kawaida tu ambaye atakuwa hana utofauti na Laca or Nketiahkwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.k
"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window."#AFC
(@FabrizioRomano via @podcastherewego)
Mkuu wakati Auba anakuja Arsenal mpira ulikuwa bado haujafkia hapa ulipo, Yani saiz mchezaji ata hajaprove ndio unampata Kwa bei ya zamani ya Aubakwani auba alikujaje? kwenye list ya strikers kuna victor osmhen, lewin, isak, n.k
"Arsenal will 100% sign a top striker in the summer. They had many names in their list, but they're not available in the January window."#AFC
(@FabrizioRomano via @podcastherewego)
Mkuu wakati Auba anakuja Arsenal mpira ulikuwa bado haujafkia hapa ulipo, Yani saiz mchezaji ata hajaprove ndio unampata Kwa bei ya zamani ya Auba
Kwa uwezo wa Auba kile kipindi ndio ingekuwa Leo unadhani angeuzwa bei Gani? Isak na hao uliowataja sidhani kama unawaweka kwenye kundi la wachezaji ambao wanakupa 20+ goals EPL kama alivosema mdau pale juu
Na istoshe kile kipindi Arsenal ilikuwa na kocha ambae anashawish wachezaji kuja Arsenal, ila leo hii club haina kocha wa kushawish unadhania ni mchezaji gani ambae anakupa guarantee ya 20+ goals atakuja Arsenal aache kwenda team ingine
EPL hiyo Mkuu, we unahisi ni striker Gani anaweza kukupa guarantee ya 20+ per season ambae anaweza kwenda Arsenal?
This is largely because of Arteta brilliance.TAKWIMU :
Arsenal wameruhusu magoli 3 tu katika mechi 7 za mwisho kwenye EPL huku magoli 2 yakiwa ya penati.
Tunao na uwezo mkuu sio bahati tuBahati tupo nayo. United kasuluhu. Anasubiriwa Westham
Uwezo wa kushinda hata kama tunao tunatarajia bahati wapinzani wetu wajikwae kama leo united.Tunao na uwezo mkuu sio bahati tu
As it stands, wakishinda zao tukishinda zetu basi tunakwenda kiulainiUwezo wa kushinda hata kama tunao tunatarajia bahati wapinzani wetu wajikwae kama leo united.
Statistically kesho hammers wana chance ya kushinda dhidi ya foxes lakini hapa tunatarajia bahati itubebe wateleze.