isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Xhaka hiyo ndio foul yake ya kwanza na kadi, wenye fouls nyingi Cedric na Benjamin.xhaka ,game ambay iko kasi n compact haiwez ,yuko too slow kwenye maamuzi n nd mana anafnya fouls nyngi..
Inahitajika substitution ya moja kati yao.Sijui kipindi cha 2 kwa Xhaka kama atamaliza salama.
Ya Partey haikupaswa kuwa card, kwa mara nyengine namuona Michael Oliver akiteleza kazini.
for real...πKwa sababu hii kitu imekuwa kawaida, basi kocha aanze kutrain team kucheza na wachezaji 10