Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Granit Xhaka is the first Arsenal midfielder to be booked in four consecutive Premier League appearances since Cesc Fabregas in December 2007 (five in a row).
 
Nimeona Xhaka amefanya worst challenge iliyompatia yellow kadi pia naona na Partey anayo yellow card hivi alifanya nini kupewa card maana sikuona?
 
Nasikia munauza Saka, mujiandae kushuka daraja ..hamuna timu humu ..ni takataka tupu
 
xhaka ,game ambay iko kasi n compact haiwez ,yuko too slow kwenye maamuzi n nd mana anafnya fouls nyngi..
 
second half XHAKA na PARTEY tuombe mungu watulie la sivyo yatajirudia ya last season...
 
Nimeona Xhaka amefanya worst challenge iliyompatia yellow kadi pia naona na Partey anayo yellow card hivi alifanya nini kupewa card maana sikuona?
Alifanya kama xhaka tu ila kati kati ya uwanja japo hakukamata jezi wazi wazi ila almost zinafanana naiona kadi nyekundu kabisa hii mechi!!

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…