Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta ni mjanja amekuja kuichezea arsenal kama uwanja wa mazoezi ....then anarudi the home place city ...ukikata damu ya arteta ipo Etihad
sisi tulimtuma aje kupata uzoefu zaidi kwa timu Kama arsenal
 
Kujifia?
Sio Majimaji ya Songea hiyo.
Let's pray tupate kuingia Top 4 na kuplay Champions league hapa ndiyo Arsenal itakuwa bado ipo imara but otherwise Arsenal haitarudi tena katika ubora wake player gani tutampata wa maana wa quality sio quantity?Leno Laca Nketiah almost na wengine wanasepa this season
 
FACT ukiachana na Sanchez kwa miaka ya karibuni almost 6 years sikumbuki kama kuna players ambao wameondoka Arsenal wakaingizia pesa timu I don't know problem ipo wapi
 
Bro wachezaji gani wenye physicality kati ya hao uliowataja?In my opinion labda ni mmoja pekee au physicality unayoiongelea ni tofauti?for example umemtaja Tavares huyu keshawahi kufanyiwa substitution dk ya 29 na Arteta akawa anapayuka kwenye benchi
 
Arteta akichanga karata zake vizuri top4 tunaingia
Hii kutokana Tupo EPL tu udogo wa kikosi lakini watu wa kazi tunao

. laca/Nketiah

Pepe/martinel. Rowe/odegard. Saka

Partey/Xhaka/mudy/lokonga

Tierney/Soares Gabriel, Holding White. Tomiyasu/Tavares

. Ramsdale/Leno

Kikosi hiki mimi naingia nacho top4
 
Bro wachezaji gani wenye physicality kati ya hao uliowataja?In my opinion labda ni mmoja pekee au physicality unayoiongelea ni tofauti?for example umemtaja Tavares huyu keshawahi kufanyiwa substitution dk ya 29 na Arteta akawa anapayuka kwenye benchi
Shida wewe mpira huelewi sijui, Tavares ni mental issue sio physical, Mchezaji anapokosa technical security ni mental zaidi.
Huyu katoka ureno anahitaji muda, BTw he is 21.
 
Tatizo ni hapo kwa Tomiyasu, Tomiyasu na Cedric Soares ni mawingu na ardhi, No Tomiyasu no effective build up.
 
Shida wewe mpira huelewi sijui, Tavares ni mental issue sio physical, Mchezaji anapokosa technical security ni mental zaidi.
Huyu katoka ureno anahitaji muda, BTw he is 21.
Ok ok
two next seasons Mungu akitupa uhai ntarudi kukumbusha hakuna mpaka sasa player pekee I repeat pekee ambaye alikuwa physically kama Saed Kolasinac but after seasons kadhaa leo kaondoka bure let's wait and see kukumbusha ni muhimu
 
Suala ni physicality + profile, hatuangalii misuli, ebu tafuta stats angalia ni duels ngapi Tomiyasu anawin compared to sead,

Partey kwenye mechi vs United (0-1) aliwin almost every duel vs Fred & Pogba, Juzi vs City, Partey won all duels against Rodri/ De bruyne/ Gundogan/ Bernardo. And so you question physicality?
 
Ok ok
two next seasons Mungu akitupa uhai ntarudi kukumbusha hakuna mpaka sasa player pekee I repeat pekee ambaye alikuwa physically kama Saed Kolasinac but after seasons kadhaa leo kaondoka bure let's wait and see kukumbusha ni muhimu
Sead mzuri kama mnataka kucheza low block mkitaka game plan ya kupossess na akahitajika kuact kama attacking full back mnakua hamna ishu
 
Next six games:

Wolves (A)
Brentford (H)
Wolves (H)
Watford (A)
Leicester (H)
Villa (A)

How many points?
 
Next six games:

Wolves (A)
Brentford (H)
Wolves (H)
Watford (A)
Leicester (H)
Villa (A)

How many points?
If no red card and Injury i will go for maximum point (18).

Otherwise its a way of far sleep from top four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…