Hao ndo Arsenal walikuwa wanawahitaji ila Paratici ameharibu mipango.Walipeleka ofa kwa mchezaji ambaye amesema wazi hana interest na Arsenal. Baada ya kukataliwa plan B ilikua ipi? Anahitajika mid wameenda kwa Melo ikawa Juve wanarefusha makubaliano.
Kwanini hakukua na plan B ya Mid na wala ya ST?
Tamani tamani bila kununua ni kazi bure tu.Hao ndo Arsenal walikuwa wanawahitaji ila Paratici ameharibu mipango.
Hatuna mid kivipi?Naona tumesajili CB. Ila atabaki mpaka msimu uishe.
Angekuepo Saliba nafikiri Saliba na Gabriel wangebaki nyuma na White angepanda awe mid.
Kwa sasa najaribu kupata picha kikosi kitakuaje bila mid na forward ila sielewi
Wewe ndo muongo sasaKwa mara ya kwanza naugundua uongo wa Fabrizio Romano, Auba kaenda Barcelona kusalimia familia yeye anaripoti kaenda kwa ajili ya Medical Tests
View attachment 2103432
We kinabo Romano akisema wewe siyo MTanzania wote tutamuaminiKwa mara ya kwanza naugundua uongo wa Fabrizio Romano, Auba kaenda Barcelona kusalimia familia yeye anaripoti kaenda kwa ajili ya Medical Tests
View attachment 2103432
Mkuu ungetoa hizo emoji za kucheka, maana wanaweza kuhisi unafanya utani wakati hii issue ni seriousMimi sio mchawi ...
Lakini nasema hivi mnaona hio nafasi mlipo ,hamtakanyaga top 4 Tena hata ndani ya dakika tano ....
Sioni kabisa hii arsenal ikikaa hata nafasi ya 5 au 6
HahahaHatuna mid kivipi?
Lokonga, Partey, Elneny, Xhaka?
You mocked Tomiyasu bro, you said he was not quality, Au sio weweRubbish
Una mention hao midfielders seriously??Lokonga is RubbishYou mocked Tomiyasu bro, you said he was not quality, Au sio wewe
Na timu ya taifa wanaitwa aloo arsenal itakuwa motoHatuna mid kivipi?
Lokonga, Partey, Elneny, Xhaka?
mid zetu zote zimeshiba na tunaziaminiUna mention hao midfielders seriously??Lokonga is Rubbishtumejionea ,Xhaka ni Rubbish,Elneny ina depend ameamkaje na his family yupo 50 kwa 50 but only Partey angalau sema naye ni pancha kwa sasa so it means Arsenal ina Partey ambaye kufanya makosa huwa ni nadra and akiumia means tunakuwa hatuna viungo tena Lokonga Elneny even Xhaka hawawezi kuingia katika first eleven any team kwa ambazo zipo Top 8 hawapati namba
Unasema I used to mock Tomiyasu bro you are wrong
Arsenal haivutii tena wachezaji!(Winning Mentality) imempeleka Juventus View attachment 2103959