FACT hana jipyaMuda arteta aliokaa Arsenal unamtosha,hawezi zaidi ya hapo,hana mbinu yoyote ya kubadili matokeo
Mashabiki akili zitakaa sawa wakati Kroenke anaingiza faida ya mabilioni kupitia Arsenal huku hakunaakili ziwakae sawa mashabiki au wachezaji au uongozi wa arsenal
FACT broWakati naandika kwamba tumetolewa FA, Carabao na tutatolewa top four Will Jr alikua bize kupinga na stori na takwimu zake mbalimbali.
Kuna vitu mtu anakuja kukuambia siyo vya ukweli na anatafuta angle ya kuingiza argument mpya kila muda na unashangaa anatoa wapi moyo huo.
Kuna kitu cha msingi itabidi tuelewe na tukubali kitu chenyewe ni kuacha kuishi ndotoni.
Ukiiangalia timu jinsi inavyocheza. Kikosi na wachezaji waliopo unapata picha wapi timu inaenda, wengine hua wanaelewa wengine hua hadi abishe asikie raha.
This is bullshit
Sasa bro mashabiki si tushalalamika vya kutosha?Mashabiki akili zitakaa sawa wakati Kroenke anaingiza faida ya mabilioni kupitia Arsenal huku hakunatrophies zozote kubwa for more than 20 years tena wananunua new jezi kila msimu wengine wanalipa viingilio kuingia uwanjani wakati hakuna jipya
Tusubiri Mungu afanye MaamuziSasa bro mashabiki si tushalalamika vya kutosha?
Hivyo viporo vyenyewe sasaBado kuna ndoto za top four? Maana mlikuwa mnatamba na viporo.
Hongereni Hasan-Ali mmewakula vyenga hatari, mpo vizuri kwa kweli, mechi inayofata mnawakula vyenga tena Wolves, halafu mnafaida ya viporo vinneWhat a misssssssssssss again. Lacazette. Possession stands at 90%to 10%
aukumalizia n " kushinda na njaa"Kazi ya leo ni kushinda.
Jana nilikuambia jamaa hana ukali huo sasa subiri uoneMelo to Arsenal done deal.
ngoja tumuone mimi naamini anajua boli sana.Jana nilikuambia jamaa hana ukali huo sasa subiri uone
au unataka kusema bora Lokonga kuliko Melo?Jana nilikuambia jamaa hana ukali huo sasa subiri uone
Ngoja kabla sijajibu swali lako na mimi nikuulize.au unataka kusema bora Lokonga kuliko Melo?
Melo ni Locatelli aliyekosa namba first eleven so ni aina ya mchezaji ambaye siyo mbaya ukiwa naye kikosini ila hata asipokuepo huwezi notice.ngoja tumuone mimi naamini anajua boli sana.
Nachoamin mim wachezaj wa arsenal wakiamua kujituma plus motivation y kocha wao wakacheza game zao kwa spirt kubwa km game n man cty vile walivocheza bas top four ni uakikaMelo ni Locatelli aliyekosa namba first eleven so ni aina ya mchezaji ambaye siyo mbaya ukiwa naye kikosini ila hata asipokuepo huwezi notice.
Yaani ni kwamba Juve siyo vinabo kumleta Locatelli pale huku wana Melo na wote wana qualities zinazoendana. Na Locatelli amefikia kua first eleven kamuacha Melo benchi.
Anyway, hua hatujudge mchezaji kwa alipotokea ila matumaini ya juu sana yatakupa ugonjwa wa moyo
Wote sina uhakikaNgoja kabla sijajibu swali lako na mimi nikuulize.
Lokonga ni first eleven alipotokea.
Melo je?
sawaMelo ni Locatelli aliyekosa namba first eleven so ni aina ya mchezaji ambaye siyo mbaya ukiwa naye kikosini ila hata asipokuepo huwezi notice.
Yaani ni kwamba Juve siyo vinabo kumleta Locatelli pale huku wana Melo na wote wana qualities zinazoendana. Na Locatelli amefikia kua first eleven kamuacha Melo benchi.
Anyway, hua hatujudge mchezaji kwa alipotokea ila matumaini ya juu sana yatakupa ugonjwa wa moyo
Huyo jamaa yuko vzr kwenye analysis za mpira, lkn kuna muda huwa anajizima data kwa vitu ambavyo vipo obvious kabisaaWakati naandika kwamba tumetolewa FA, Carabao na tutatolewa top four Will Jr alikua bize kupinga na stori na takwimu zake mbalimbali.