Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
And the race to top four is over kudadeki.
aibu ya nini dingi?There are some arsenal fans who are optimistic with a top four, nawashangaaga sana!! With this squad??? Muwe na aibu
aibu ya nini dingi?
kwahiyo tunashiriki ligi bila kuwa na malengo?
wewe juzi tuu si ulikuwa unasema top four uhakika?
Tatizo Arsenal hatuna kocha wa maana,tungekuwa na kocha kama Conte afadhali,ila huyu tulie nae ni kitukoThere are some arsenal fans who are optimistic with a top four, nawashangaaga sana!! With this squad??? Muwe na aibu, mnaonekana laughing stocks
Tuombe tottenham apigwe tuu
Leo nilishinda nimevaa jezi ya Arsenal, ngoja nikaivue niingie mtaani kufanya shopping ya kitafunio cha kesho
KWA TIMU HIYO YA LOKONGA NA GABRIEL HATA UMLETE PEP ATACHEMSHA
I am waiting for die hard fans waje na comments zao
Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa
FACT bro ni Arteta supporters broSio diehards but Arteta supporters, I hear that his contract will extended till 2025 to fend off interest from City.
I am waiting for die hard fans waje na comments zao
Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa
Sina la kusema but yesterday nlisema Arsenal top 4 ni mpaka Mungu apende but top 7 uhakika ,eti Mmiliki ni Kroenke,Coach ni Arteta,players ni hawa hawa tunaowajua kisha Arsenal aende top 4 ???na hawa watoto nawapa misimu 2 wa 3 lazima wawili wasepe watuachie mzigo tulionao wa mwaka 20 unaenda sasa bila big trophiesza Maana tutaishia kusifia performance ohhh timu imebadilika but all in all 3 points ndio zina matter!bado Manchester United Chelsea Liverpool Tottenham West Ham Wolverhampton(2 games) hawa wote bado hatujacheza nao jamani jamani natetemeka
We mzee top 4 ya SERIA A au ?ya EPL Arsenal never ever haitafika top 4 sababu kwa ujumla daily mapungufu ya miaka nenda rudi ni yale yale kuanzia kwa Mmiliki ,Coach na Players for example Nketiah ni mshambuliaji wa kuipeleka Arsenal top 4?think twice broHii vita ya kushindana na Man U & Spurs nyepesi sana, Matimu mabovu No foundation, No fundamentals, both need a good luck to win a football match, haiwezi kuwa vita ya Arsenal. Tunamaliza top four.
Bora aje kocha mwenye akili ya kusajili,hao akina lokonga waliletwa na arteta,hana sifa ya kuifundisha timu ya EPL kama kocha mkuuKWA TIMU HIYO YA LOKONGA NA GABRIEL HATA UMLETE PEP ATACHEMSHA
Muda arteta aliokaa Arsenal unamtosha,hawezi zaidi ya hapo,hana mbinu yoyote ya kubadili matokeoI am waiting for Arteta supporters waje na comments zao
Arteta endelea hvyo hvyo kungata na kupuliza mpaka akili ziwakae sawa
Sina la kusema but yesterday nlisema Arsenal top 4 ni mpaka Mungu apende but top 7 uhakika ,eti Mmiliki ni Kroenke,Coach ni Arteta,players ni hawa hawa tunaowajua kisha Arsenal aende top 4 ???na hawa watoto nawapa misimu 2 wa 3 lazima wawili wasepe watuachie mzigo tulionao wa mwaka 20 unaenda sasa bila big trophiesza Maana tutaishia kusifia performance ohhh timu imebadilika but all in all 3 points ndio zina matter!bado Manchester United Chelsea Liverpool Tottenham West Ham Wolverhampton(2 games) hawa wote bado hatujacheza nao jamani jamani natetemeka
nfo kilichobakiHahahahaha. When the going gets tough, una hamia kupiga ramli
akili ziwakae sawa mashabiki au wachezaji au uongozi wa arsenalI am waiting for Arteta supporters waje na comments zao