Ukiwa unacheza FIFA career mode kikifika kipindi cha usajili mfano unatumia timu ya daraja la tatu unataka upande nayo had juu so unaenda kumfuata mfano Hazard au Bale kwakua umri umeenda so unakubaliana na Madrid wanakupa go ahead kunegotiate na mchezaji ukifika kwa mchezaji mchezaji anakuambia 'I like it here' ukifosi anakujibu 'I have my ambitions elsewhere'Kwamba mchezaji hana say yoyote?? Kwamba Ipswich town ikimtaka Dembele wakalipa £2M basi anakwenda to Ipswich town??
Arteta ametutoa FA.
Edu na Arteta wanatutoa Carabao
Yeah then no sale will take place and Barca will have their problem standing still come 1st FebruaryUkiwa unacheza FIFA career mode kikifika kipindi cha usajili mfano unatumia timu ya daraja la tatu unataka upande nayo had juu so unaenda kumfuata mfano Hazard au Bale kwakua umri umeenda so unakubaliana na Madrid wanakupa go ahead kunegotiate na mchezaji ukifika kwa mchezaji mchezaji anakuambia 'I like it here' ukifosi anakujibu 'I have my ambitions elsewhere'
Ndicho watakachojibiwa Ipswich
Kwanini tusipite???Itakuwa miracle tukitoboa,
nipo mkoa mmoja kwa sasa, tangu asubuhi umeme umeishakatika mara 6 sijui kama nitaona mechi, let me charge my iPad,itabidi kutumia plan B
Kwanini tusipite???
Yaani tuna nafasi kubwa ya kupita
Tusubiri maana naona Leo kikosi hata kutolewa hakijatolewaKikosi tulichonacho kinanipa (???)
Tusubiri maana naona Leo kikosi hata kutolewa hakijatolewa
Hebu share hapa sijakionaKimetolewa, stronger than I thought
Good. Sasa wanakufa au hawafi??
Mi mwenyewe kimenitishaKimetolewa, stronger than I thought
Good. Sasa wanakufa au hawafi??
Ulishaanza kukasirika haahhaahahahArsenal have gone pretty much full strength there. Mikel Arteta not messing around.
Ulishaanza kukasirika haahhaahahah