Wolves kakufungaKila nikiangalia viporo vya Arsenal najikuta
Arsenal vs Wolves
Arsenal vs Liverpool
Chelsea vs Arsenal
Tottenham vs Arsenal
Wolves kakufunga
Liver kakufunga
Chelsea kakufunga
Spurs umemfunga.
Arsenal kamfunga spurs
Kamfunga Wolves
Kafungwa na chelsea kafungwa na liva
Nyinyi viporo vyenu vilikua vya timu ndogo.
Kunifunga mimi au kumfunga wewe kwenye round ya kwanza haizuii kukufunga round ya pili.
Viporo hua vina faida ukipangiwa vitimu vidogo vidogo ila kwa hizo timu ulizopangiwa wewe ni presha tupu maana hauna hata mechi moja ya kupumulia.
Ila naona bodi ya ligi wamewawekea mkakati wa kushiriki Europa msimu ujao.
Pole jirani ndio ukubwa huo.
Kwa xhaka yote yanawezekanaWachezaji waliopata yellow card December ni Ramsdale, Odegaard, Partey, Saka, Xhaka, Gabriel, Martinelli na Holding.
FA inamchunguza mchezaji kwa ajili ya yellow yenye viashiria vya kubet. Inadaiwa kwamba anayechunguzwa ni Xhaka na yellow inayochunguzwa ni ile tuliyocheza na Leeds ambapo tukiwa tunaongoza 4 - 1 Xhaka akapata kadi kwa kupoteza muda.
Tuassume ni kweli kuna mchezaji kafanya hivyo. Mchezaji analipwa 100K+ kwa wiki unadhani ni kiasi gani kinatosha kumfanya ashiriki katika hii bet? Naamini inatakiwa iwe pesa nyingi kweli kweli maana hii ishu ikibumburuka na career yako inaweza ikawa ndiyo imeisha.
So let's hope siyo kweli and let's hope siyo Xhaka kwakua red tu zinafanya achukiwe na hili likiingia kwenye huo mchanganyiko itakua mwisho wake kimpira.
Kwa xhaka yote yanawezekana
Barcelona will lose this battle.
ChambersLeo katika eneo la middfield ndio linanichanganya mpaka sasa.
Sijui Sambi atakaa na nani pale kati.
Duh!! Sio poa aisee.
Wamesema lazma aondoke,maana na wao hawataki kumuacha free bila ya sent,hapo ndio timu zitakapofaidika maana atapigwa bei ya boss kalewaBarcelona will lose this battle.
I am sure dembele will be happy to be frozen for the next 6 months.
He is targeting the signing fee come summer
World governing body Fifa will allow clubs up to eight international loans in and eight out from 1 July.
Hizi tabia za kusajili bora kusajili kisha unamtoa mtu akajisikiliziie kitaa zitafika mwisho. Kama hauko tayari kusaji unakausha maisha yanaendelea.World governing body Fifa will allow clubs up to eight international loans in and eight out from 1 July.
Hizi tabia za kusajili bora kusajili kisha unamtoa mtu akajisikiliziie kitaa zitafika mwisho. Kama hauko tayari kusaji unakausha maisha yanaendelea.
Kwamba mchezaji hana say yoyote?? Kwamba Ipswich town ikimtaka Dembele wakalipa £2M basi anakwenda to Ipswich town??Wamesema lazma aondoke,maana na wao hawataki kumuacha free bila ya sent,hapo ndio timu zitakapofaidika maana atapigwa bei ya boss kalewa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app