Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna watu humu wanachonga sana..........Why??????????????? mnatamani iwe tushapigwa hata kimoja so far ila ndo hivo tena......we r good on counter attacks......a goal 4 us soon...............
 
Mbona mnajiangusha angusha sana kwa nini chezeni mpira......
 
Yule Alves anaona anampiga Nasri vibuti vya kumchokoza hili apndwe na hasira na kusababisha mengine. I hope Nasri atatuliza kichwa.
 
Hahahahahaha! wapi Aluminium!
Bora umetoka baba, aibu mtakayopata wabebe wenyewe.
Fans assholes mshapata xcuse ya kufungwa leo.
 
Huyo wanamtoa...haya muwekeni huyo mzee wenu...hapa sasa ndio mnaanza kula toka september hajacheza huyu babu wenu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…