Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndugu unajua hizi stats sometimes zinatumislead.

Unajua ukimchkua saka ukampeleka Southampton atakuwa kimeo na ukimchkua ward-prowse ukamleta gunners ni midfielder mzuri??
 
Tena DCL ni mzuri mno kwenye ku-win duels.
 
Mimi sikukurupuka nliposema above all ningemchagua DCL.

Unajua kigezo chengine kikubwa ambacho Wengi tutakiruka hapa ni proven performer kwenye EPL. Hichi si kitu kidogo.

Nina wasiwasi asije akaja Dusan pale akafeli. Nakumbuka ya CRESPO na KEZMAN. okey utasema Chelsea ni Chelsea na Arsenal ni Arsenal lakini kuna kina HULK na wengine wengi.

So kwangu kama tutampata DCL atatufaa sana in the next 4to 5 years.
 
His physique?? Hapo ntakataa mkuu.
 
Ndugu unajua hizi stats sometimes zinatumislead.

Unajua ukimchkua saka ukampeleka Southampton atakuwa kimeo na ukimchkua ward-prowse ukamleta gunners ni midfielder mzuri??
Sometimes stats lie.

Nini kitapelekea hii success na failure ya Saka na James?
 
assanal mmeona mnavotakiwa mseme sku io mkipata kifuta machoz
 
et mnajiita mabingwa wa msm ujao
nyie mkiwa mabngwa na wakina Brentford watautaka ubngwa akat mnajuaga kua ubngwa n wa tim kubwa2
 
Pace ni muhimu, lakini hebu niambie Manchester city kweli wanahitaji ST mwenye pace??
Kwa forwards wa City Jesus ana pace kazidiwa na Sterling na Mahrez kwa pale City, Aguero hakua na pace kubwa ila alikua na uwezo wa kukaa na mpira na kucheza one two yuko fasta same na Kane ndiyo maana ilikua ni option yao waliyoiconsider
 
Ndio maana nkasema pace sio issue kwa style flani ya mpira.

Saka and Martinelli wana pace. Unahitaji mtu anaweza kuhold mipira ili mambo yaende. Now considering DCL ni superb kwenye aerial duels na anaweza kuhold timu basi ni good option pia
 
Well acha aje tuone ataisaidiaje timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…