Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaha mkuu mbona unakuwa na hasira bado mapema sana??zimebakia dakika 25 mambo uwanjani....


Mkuu sio hasira sometimes you guys mnatia kichefuchefu. Hadi chacha tunaongoza huu mtanange 2 - 1, wakati nyie mnaombea masiha wenu afunge khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
OYAaaaaaa washika bunduki mupoooooooo.

Hizi zinacheza leo ni best entertaining team in erope ndio maana zinakusanywa a data amabzo hata zikicheza timu nyingine hazitiliwi maanani .

kama vile Pass ngapi zimepigwa . teh teh teh

Lets enjoy the game.
 
mmmhhhh......kazi itakuwepo leo....kwa ugeni ambao tayari upo....sipati picha!!

Duuu kama umeme umekatika basi weka credit kwenye simu nitakurudishia hela zako, ili tukupe update nini kinaendelea na uone mtakavyotumbuliwa haha...wewe ndio mpenzi wa timu yako alafu ukosekane??wala usikose....
 
Arsenal wanatakiwa wasirushusu goli la mapema tu within 10 or 15 min.
 
kwa huu ugeni wa leo nimeruhusiwa kuja kukesha hapa....manake wanaume hawawezi wageni wenye fujo kama Manda,Belinda,Mfarisayo,Papizo.....Rev Masa is missed jamani......!!!! nitakuwepo hapa mkuu labda charge iishe!!


Tumia simu kuingia humu ndani kama mimi haha...unaleta visingizio au sio???leo tutawapa kampani ya kutosha......
 
...duh, hapa pana kelele sana leo...ngoja niende Pub nikalitazame game hili kwa raha zangu!
Nitakuwa napost via Mobile...isiwe tabu bana....!

Together we stand wakuu!...soon nitakuwa tena hewani!

Leo sikuachiii..nakufwata hukohuko..nikukute kaunta ya juu kwa Suzy, kaunta ya chini kwa Lizy kuna walevi wengi.
 
Haya sasa, leteni jeuri yenu, haondoki mtu hapa mpaka kieleweke leo
 


Nafurahi kukuona mkuuu....
 

Mkuuu we subiria tu leo.....tutakimbiana humu
 
Wilshare is just the same as my reserve players

mchezaji gani kama jack yuko kwenye reserve ya barac .si amtaje jina?

Toafuti iliyopo ni kuwa jack is matured wakati hao walio kwenye reserver quality yako ni kama jack 4 yrs ago ? Kwa hiyo ni uwongo kusema na wachezaji jack.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…