Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Locatelli the baller, huyu mtu angekubali paka sasa top four ingekuwa uhakika.

Kitu kingine kuhusu Vlahovic ni mzuri sana aerial, mfano game na Man city ...KT anapiga cross nzuri afu hakuna mtu wa kwenda aerial.
Project inaweza kuwa sahihi na mwanga unaonekana, then anakuja Bwana Kipara (Pep) na project yake na pesa zake nani aende kwa Teta na Profile yake Ndogo.

Wenger na SAF walikuwa na power sana kwenye kushawishi wachezaji. Walikuwa ni father figure kwa wachezaji wengi sana. Wengi walitakani kucheza chini ya Usimamizi na maelekezo yao.
 
sijui kwanini nimeanza kuingia wasiwasi na dusan, nikikumbuka yaliyomtokea pepe, dusan ameanza kuwika huu msimu wa pili,

kwa arsenal yetu hii ya vijana wengi inahitaji middle compact na ST mwenye link up play kariba ya lacazette,
ST mfano wa lacca ni Toney, ingawa kwenye kufunga namba zinamkataa ila inaonekana Thomas Frank wants more of him rather than only scoring goals.
 
Isak hua namuona tu ana mashuti lakini sioni skills na pace yake ni ya kawaida ila anaonekana physically yuko poa.

Dusan sijawahi angalia mechi yake hata moja.

Villarreal wana mtu anaitwa Boulaye nafikiri. I swear ukimuangalia Boulaye huyu Isak unamkataa, Boulaye ni Benzema mwenye speed , pressing ya kufa mtu.
 
Arsenal inakataliwa sababu haipo Europe only that, hayo mengine ni hypernegativity Mchezaji kasema juzi 'only God knows what will happen in the future' Vlahovic kagoma kuuzwa january, Arsenal wanataka kumsajili January.
 
If so mbona Wenger alistruggle sana kusecure baadhi ya signings? Mpira wa sasa naona pesa sana, Wenger kamgombea Zaha na Alex Zaha anasema anaipenda Arsenal ila akaenda United.

Akapwaya, akapigwa chini, akaanza bembeleza arudi Arsenal. Akafungiwa vioo to date. At Arsenal wanaprefer mchezaji aipende timu kwanza au aamini project ya timu Locatelli didn't and Dusan doesn't.

Hao wote sioni wakija Arsenal hata baada ya muda kupita.
 
n kipind cha dirisha dg la usajil so tetes hua n nying sna ,zingne z kwel lkn zingne n za kuuza habar tu ila na imani na mikel arteta ,anajua nin anachokitaka na n aina ip y mchezaj anay mtaka ,kashaanza kuisoma ligi tyri inatak ain ip y wachezaj ,ata endlea kutu shngaza kweny signings zake!
 
sijui kwanini nimeanza kuingia wasiwasi na dusan, nikikumbuka yaliyomtokea pepe, dusan ameanza kuwika huu msimu wa pili,

kwa arsenal yetu hii ya vijana wengi inahitaji middle compact na ST mwenye link up play kariba ya lacazette,
Watkins haiingi hapa??? Maana yupo vizr zaid katikatik na link up pia yupo njema left na rt pia ypo vzr

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Arteta inabidi apewe New contract, City have been keeping tabs on Mikel Arteta to succeed Pep Guardiola. The athletic wanaripoti
 
Arteta inabidi apewe New contract, City have been keeping tabs on Mikel Arteta to succeed Pep Guardiola. The athletic wanaripoti
Niliwahi kuandika hii kitu humu, nikatetea sana, mwisho wa siku nilionekana napiga mbwembwe tu kipindi icho form ya timu haieleweki. Hapo Computerarsenal hakuelewi ukimtetea Arteta, yeye ni results over project, mimi project over results.
 
Our Carabao Cup semi-final first leg against Liverpool has been postponed

Source: Arsenal FC.
 
🚨 BREAKING: The first leg of the Carabao Cup semi-final v Arsenal has been postponed. The EFL have granted Liverpool’s request but Liverpool have now forfeited home advantage for the second leg.

First game: Anfield on Jan 13
Second game: The Emirates on Jan 20 🔴
 
Liverpool are playing with time to have Salah and Mane back from africa cup. What if next week is the other way round? No one knows. If they accepted that all competitions had to be completed than they should have fielded a squad with the players available. Arsenal has 7 to 8 players missing as well
 
Absolute joke Liverpool begging for it to be postponed because of Covid,Millwall tried this last week and got refused!! So had use youth players,what makes Liverpool so special!!!! 😡
 
We played Brentford, Manchester City and Chelsea with Covid cases and injuries and despite the appeal we made, the FA didn't accept it. But they'll accept one from Liverpool? Because a few members have COVID? Aston Villa played their academy when they were having covid cases Liverpool should live like that

FFS
 
Kwa upande wangu sioni umuhimu wa coutinho kwenye tim yetu
 
Home advantage my foot.

Kwanini Spurs ametolewa conference league? Nafikiri ni ishu hizi hizi za covid
 
What a joke. Just 3 of their senior players test positive. Chelsea had over 4 senior players out due to Covid, yet none of their game was postponed. This shows the hate against Chelsea. Aston Villa had to play their youth against the same Liverpool in EPL due to Covid cases
 
Liva wamekimbua Mbungi
 
Niliwahi kuandika hii kitu humu, nikatetea sana, mwisho wa siku nilionekana napiga mbwembwe tu kipindi icho form ya timu haieleweki. Hapo Computerarsenal hakuelewi ukimtetea Arteta, yeye ni results over project, mimi project over results.
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…