Kama unafuatilia ninayopost humu nimesema top four ni yetu. Na 2023/2024 tunabeba EPL
Hao labda ni mashabiki wa timu nyengine kama Madrid, Chelsea na PSG au ni malaya wa mpira wasiojua lolote.mashabiki Asani-Ali banaa mkichezea kipigo mechi mbili tu mtaanza kulalamika Arteta sio kocha aondoke zake.
Atleast today we had a decent defeat not as we have been witnessing from other game get humiliated with 5 nill defeat
Mkuu, kwani wewe si ni psg!?Tuugulie maumivu tutakutana 16 January nina hasira sana leo ntakutukana kisha ntakula ban naomba unisamehe kwa hili nkikutukana ntafungiwa Mkuu usije kunichafua nkamaliza siku vibaya na wewe tafadhali sijawahi kuwa vibaya kama siku ya leo tuta argue hiyo siku mechi tulishashinda point 3 kabisa hata 1 ilikuwa yetu kisha unaanza kuniuliza maswali ya kipumbavu?leo tuache siku ipite tuendelee na mambo mengine
Soma tena vizuri mzee. Sijayapenda matokeo, na sijapenda kukosa nidhamu kwa wqchezaji. Ila walau tumefungwa tukiwa n aheahima ya kufungwa kawaida na sio ile tano sita na nane.Yani we unachekesha, suala la wachezaji kukosa discipline kwenye big matches litaisha lini?we didn’t deserve this defeat. Na mara nyingi we lose matches because of this concern.
Hao labda ni mashabiki wa timu nyengine kama Madrid, Chelsea na PSG au ni malaya wa mpira wasiojua lolote.
Sisi mashabiki wa Arsenal tupo na kocha wetu
honestly huwa sijafatilia mechi nyingi za arsenal za hivi karibuni ila kwa nilivyowaona leo kweli INABIDI MUITRUST ILE PROCESS YA ARTETA...kama ile first half man city hatukuzion njia za kupitisha mipira na ile mbinu ya kutukabia upande wetu ulifanya full back zetu zishindwe kupanda na kufanya makosa, na yule mtoto wenu sijui tomiyasu yule dogo ni usajili mzuri mliofanya msimu huu kutokana na pace iliyonayo inamfanya aweze kurudi kwa wakati na kudhibiti winga zenye kasi kama sterling, LAKINI SHIDA YENU NYIE JAMAA SAHIVI MNA MORALE SITOSHANGAA MKIJA KUPOTEANA MBELENI MAANA KIPINDI HICHI MECHI NI NGUMU SANA PALE EPL.Chochote ambacho Arteta anawafundisha wachezaji aendelee nacho.
It works
Tumeanza msimu hovyo mno kipigo kutoka kwa Brentford, Liva na City. Nafikiri morali yetu imekua low kwa muda mrefu na sasa hivi ndiyo inapanda.honestly huwa sijafatilia mechi nyingi za arsenal za hivi karibuni ila kwa nilivyowaona leo kweli INABIDI MUITRUST ILE PROCESS YA ARTETA...kama ile first half man city hatukuzion njia za kupitisha mipira na ile mbinu ya kutukabia upande wetu ulifanya full back zetu zishindwe kupanda na kufanya makosa, na yule mtoto wenu sijui tomiyasu yule dogo ni usajili mzuri mliofanya msimu huu kutokana na pace iliyonayo inamfanya aweze kurudi kwa wakati na kudhibiti winga zenye kasi kama sterling, LAKINI SHIDA YENU NYIE JAMAA SAHIVI MNA MORALE SITOSHANGAA MKIJA KUPOTEANA MBELENI MAANA KIPINDI HICHI MECHI NI NGUMU SANA PALE EPL.
Wanaoangalia VAR ni walewale mfano awe DEIN pale juu na Arsenal inacheza. Amiwa kiwanjani mbovu akiwa pale ghorofani unatarajia abadirike!? Muarobani wa VAR ni ROBOT tu basi.VAR na Refereeing in general vimekua na inconsistency sana. Sijui FA wanawaza nini qumamaqe. Zaidi ya misimu miwili sasa tangu VAR ianze lakini bado maamuzi yamejaa uHuni
Tayari wana points 33 kwa 18 gamesNilikua naihofia spurs ila naanza kudoubt
We msenge si uende ufungue uzi wa PSG yako uone kama tutakufata ukoMwisho tumepata nini?na Top 4 tutatoka tu mechi rahisi kama hii tumeipoteza na ntakukumbusha hii game itatucost kwenye mbio za Top 4 problem ya Arsenal kwenye big games ni lack of concentration and discipline na hata Castr na Mysterio wanaliongeleaga sana hili kufungwa tumefungwa na Top 4 ishakuwa mtihani next game vs Conte Manchester City ameshinda sababu hizi hizi game tulishaishinda kabisa ghafla penalty mara Red card hata first game Red card ilitolewa
We msenge hukuandikiwa barua wala hakuna mtu aliekufata uishabikie hii timu kama inakuuma tafuta timu nyingine isiofungwa ushabikieSasa tumefungwa au hatujafungwa?tatizo la Arsenal ni lack of concentration and discipline katika big games na hili tatizo halijatatuliwa kamwe Manchester City leo kapata ushindi wa kishenzi kabisa vs Arsenal sema hata refarii nae alaaniwe mechi zijazo asichezeshe Odeegard kanyimwa penalty kabisa