Tusiwe pessimistic kiasi cha kusema "City kushinda leo ni matokeo yanayotarajiwa". Ni kweli wapo vizuri, lakini mbona Palace na Spurs waliwapiga?City kushinda ni matokeo yanayotarajiwa.
Mid yao ukimuacha Fernandinho mpaka forward wote wanaweza kuscore, wana wingers wazoefu katika kudribble, kucut in na kuscore.
Most importantly wana uwezo mkubwa kucheza in a fluid movement kwa pamoja. So hata tukijiuliza mbona Foxes au Wolves wanaweza kuscore the reason ni kwamba hawa wawili wanacheza kama unit for years sisi ndiyo kwanza tunaanza.
Lakini msimu huu gunners wametumia gharama kubwa sana katika usajili.Kuna wakati natamani MUSTACHI angekuwa na vision na matamanio yetu. Ila yeye as long as mwisho wa mwaka gawio lake liko salama yanayojili kiwanjani na hasa kama team haishuki daraja bado ana furaha na uqekezaji wake.
Siku MUSTACHI akiiacha team development ya kweli tutaiona. Vinginevyo with him our investment tuendelee kufunga mkanda
Kwa sababu ya Tishio la Maandamano yetu na sio kama mwamba ametoa akiwa anafurahia. Kwanza yanayohusiana na football hayamuingii Kichwani, uwekezaji wake ni kibiashara bila kurisk kupump capital kwenye uwekezaji wa awali ambao anauhakika wa return minimal kila mwaka.Lakini msimu huu gunners wametumia gharama kubwa sana katika usajili.
Mnagongwa vitatu vizuri kabisaArsenal tukifungwa leo, inabidi mimi ndo niulizwe kuhusu jambo hili.
Today am less optimistic not because of Arteta's absence but the magnitude of whom we are facing,win draw or lose am a gunner foreverArsenal kucompete na timu km City inahitaji nafasi ya Xhaka(kwenye 433) aingie mtu kama Houssem Aouar, nafasi ya Laca aingie mtu kama Vlahovic/ DCL/ Toney/Isak/ Jonathan David/ Watkins hata Tammy Abraham, na pia Tomiyasu awe fit sio huyu Cedrick Soares + experience kwa young guns.(ESR ,Martinelli & Saka)
Vinginevyo Arteta achange system, maana Arsenal tunacheza kama City, bila profile itahitaji good luck kushinda hizi mechi.
Be disciplined, structured, organized & confident. ONLY.Arsenal making it a game of transition is key for us.
Mzee Husia zako zinakufanya utende zambi ya Hukumu.Computerarsenal, Eroni na mkopoka naonaga ni mtu mmoja, huyu jamaa anasumbua na akaunti mia
kwa hiyo unajiquote tu mzee baba kwa kuswitch ID
We need to play our best football if we want to defeat this Man City side. Man City is a strong side so we can't afford any mistakes or turn up late in the match. Right from minute one we need to press high and keep that intensity. If we sit back Man City will definitely score 2-3 goalsBernardo Silva as a false 9, lakini ni typical attacking midfielder, anadrop paka kwenye build up phase kucreate overload.
With B.silva dropping deep, City wanakuwa na an extra man kwenye build up (Numerical Superiority) + Ikay Gundogan a complete player can shine in every facets of play, from the build up to the final third, Arsenal have Compact press but City with Silva & Gundogan must beat Arsenal's 442 compact press.
B. Silva a press resistant midfielder, either Gabriel / White kumtrack still City can destroy us thru transition.
Ni kwa namna gani we can keep the ball away from City?, Swali ambalo hata Mikel Arteta hawezi kukujibu.
In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.Tusiwe pessimistic kiasi cha kusema "City kushinda leo ni matokeo yanayotarajiwa". Ni kweli wapo vizuri, lakini mbona Palace na Spurs waliwapiga?
Naamini matokeo mazuri leo yatafanya hata top three iwe reality.
With B.Silva dropping deep we will be forced to sit off, pressing high line against City is disaster for this inexperienced side, do you think Gabriel can be able to hold high line throughout 90minutes ?, No mate, City will destroy us thru transition.We need to play our best football if we want to defeat this Man City side. Man City is a strong side so we can't afford any mistakes or turn up late in the match. Right from minute one we need to press high and keep that intensity. If we sit back Man City will definitely score 2-3 goals
That's all
Spurs tutamalizana nae wenyewe kuamua nani awe pale juu kwa ajili ya CL.In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.
Naona shida yetu katika kushinda ni kukosa mtu ambaye atakua macho kuangalia runs za forward. thru balls na purposive movements ndiyo misingi ya leo, wakae na mpira ila Arsenal tukiupata ni kulifuata goli
Binafsi sio tactical analyst lakini naona kabisa Xhaka akiflop kama anavyofanya mechi kubwa.In fact tukifungwa leo na spurs akashinda hata namba nne itakua mashakani.
Naona shida yetu katika kushinda ni kukosa mtu ambaye atakua macho kuangalia runs za forward. thru balls na purposive movements ndiyo misingi ya leo, wakae na mpira ila Arsenal tukiupata ni kulifuata goli
unakikos gan cha kufanya attack mbele ya city tatizo awa watoto unaowategemea kwenye big match wanakua mavimavi2 amna loloteWe are losing hope of beating a city side due to the previous results against them which is why everyone is saying win or lose. Well to be frank city is a difficult side to face now but the only way to beat them is to attack and not fvking defend for crying out loud
Lukaku kasema chelsea ni jalalalleo nlkua nataka mnizuilie kipara lakin nikifkiria zile 5 mnapigwagwa nakata tamaa
Naiombea Arsenal ushindi, ndio maana kwangu naona Transition moments ndio ufunguo kwenye hii mechiWe are losing hope of beating a city side due to the previous results against them which is why everyone is saying win or lose. Well to be frank city is a difficult side to face now but the only way to beat them is to attack and not fvking defend for crying out loud