Kweli kila mtu na jicho lake, kwangu Arteta kumleta TP alifanya jambo la maana sana, Liverpool ana Fabinho 6ft, Man City ana Rodri / Fernandinho 6ft.Kila mtu na jicho lake ila nilikuwa namkubali saana LT(lucas torreira)
Partey namkubali mnoo, hapa tulikuwa tumeanzia kwa xhaka, akasema arsenal wanatafuta dm mwingine haswa ndio nikamkumbuka LT kama angekuwepo akacheza pembeni ya TP nadhani chama lingetulia mnoo hapo, xhaka ana mawenge saana.Kweli kila mtu na jicho lake, kwangu Arteta kumleta TP alifanya jambo la maana sana, Liverpool ana Fabinho 6ft, Man City ana Rodri / Fernandinho 6ft.
6 ft utawin mipira ya juu sawa lakini unamuona Kante? Verrati? Sanches? Type of a mid anazunguka uwanja non stop akilinda, akipasi, akiscore, akitackle, akishambulia.Kweli kila mtu na jicho lake, kwangu Arteta kumleta TP alifanya jambo la maana sana, Liverpool ana Fabinho 6ft, Man City ana Rodri / Fernandinho 6ft.
Unatakiwa kuelewa umuhimu wa body profile/ orientation kwenye Positional play system then italeta urahisi wa kuelewa umuhimu wa kimo kwenye vital area kama anapocheza LT.6 ft utawin mipira ya juu sawa lakini unamuona Kante? Verrati? Sanches? Type of a mid anazunguka uwanja non stop akilinda, akipasi, akiscore, akitackle, akishambulia.
Nafikiri urefu siyo ishu tena haswa zama za mpira wa sasa, na hili tayari tumeliona limefutika kwa ma-full backs na wing backs. Wakina Lamptey, Hakimi, Aarons, Tierney n.k.
Uwe na Body profile kama Ya Viera ambayo imebeba kila kitu inakuwa rahisi kujustify. Lkn unakuwa na body profile ya Kante na bado anafanya 60% ya majukumu aliyokuwa anafanya Viera au Makelele pamoja na kuwa na height karibu sawa na ya Kante bado alipiga kazi ya maana Drid. So unaweza kuwa na mwili jumba kama Xhaka na akili kisoda anakuwa mzigo kwa team, maana red huha wakati wowote madness zikimpandaUnatakiwa kuelewa umuhimu wa body profile/ orientation kwenye Positional play system then italeta urahisi wa kuelewa umuhimu wa kimo kwenye vital area kama anapocheza LT.
Haya sawa. Nitarudi tena nikielewa.Unatakiwa kuelewa umuhimu wa body profile/ orientation kwenye Positional play system then italeta urahisi wa kuelewa umuhimu wa kimo kwenye vital area kama anapocheza LT.
Xhaka ni mzuri sana anapokuwepo kwenye timu ila tatizo ni kwamba hizo kadi anazozipata ni kwasababu wachezaji wengi wa miguu ya kushoto huwa sio wazuri kwenye ukabaji wa kunyang'anya mipira hapo ndo utaona shida kubwa ya xhaka vinginevyo ni hali ya gem kuna siku inakubali kuna siku inagoma.Xhaka ana mapungufu mengi kuliko mazuri yake.
Mie nilijua ile deal ya kwenda roma arsenal wangeikubali na kuisaka middle nyingine ya nguvu ila mambo yakawa tofauti.
Xhakanho"tikiti bovu shambani kwetu" hamna namna, tunakubali uhalisia tu.
Tusubili ilo game na city tuoneXhaka ni mzuri sana anapokuwepo kwenye timu ila tatizo ni kwamba hizo kadi anazozipata ni kwasababu wachezaji wengi wa miguu ya kushoto huwa sio wazuri kwenye ukabaji wa kunyang'anya mipira hapo ndo utaona shida kubwa ya xhaka vinginevyo ni hali ya gem kuna siku inakubali kuna siku inagoma.
Xhaka ndiye anaemfanya partey afanye vzr kwa kuwa anampunguzia kazi hivyo kazi kubwa inabaki yeye kusambaza mipira kwa viungo wa mbele na washambuliaji. Kwa hilo ebu anza kufuatilia gem kubwa na ngumu ambazo xhaka anakuwa ndani na zile anazokuwa nje uone. Kwangu mimi Xhaka ana ubora mkubwa mno ila basi tu haijawaka kwenye kiwango cha kuwa na mwendelezo
Tusubili ilo game na city tuone
ndo io io aya jibu na ili mara yako ya mwisho kushrik uefa ilkua mwaka gan vileJibu swali bwana katsande.
Ndiyo hii timu inayofukuza makocha kila msimu?
umeenda mbali ya Wolverhampton2Game vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
yapGame vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
Kwa hiyo unachukua makombe kila msimu ila unafukuza makocha kila msimu. Mna uchizi?ndo io io aya jibu na ili mara yako ya mwisho kushrik uefa ilkua mwaka gan vile
Sent using motorola 78
Unajua kama timu yako PSG imepigwa na City? Na ina wachezaji zaidi ya 7 world class na GOAT mmoja.Game vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
We are talking about Arsenal football club bro mbona unaanza kujihami hata mechi haijachezwa?Unajua kama timu yako PSG imepigwa na City? Na ina wachezaji zaidi ya 7 world class na GOAT mmoja.
United ina wachezaji wanne world class na GOAT mmoja na walibakwa.
Zishaputa hizo. Kifupi mwali ni wa kuzifunga team zilizo chini yetu na sio siti mazeeGame vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
si psg wewe?Game vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
City ni kipimo ndio ila ni kipimo kikubwa mno kwa kocha kama Arteta bro, kwaiyo matokeo yoyote yale sio kipimo sahihi kwakeGame vs City itanifanya nione timu yetu ni kidume au tunampa coach sifa ambazo sio zake lets wait that game
Umeset bar too high.We are talking about Arsenal football club bro mbona unaanza kujihami hata mechi haijachezwa?