Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ivan Toney anasema kuchukua EPL inabidi Arsenal imsajili yeye, ana potential ya kuwa WC Striker, ubora wake mkubwa ni kulink up play kitu Arsenal inachomiss kwa sasa.

Martinelli-Toney-Saka
Ana umri gani?

Kwasasa Arsenal wanasajili wachezaji wenye umri mdogo, ambao wanaoweza kutrust our process
 
Ana umri gani?

Kwasasa Arsenal wanasajili wachezaji wenye umri mdogo, ambao wanaoweza kutrust our process
Not the process ni resale value ya wazee haipo.

Ozil tulishindwa kumuuza tukamtoa Bure, sasa Auba nae hatuwezi kuuza zaidi free transfer
 

Angalia namna wachezaji wa Arsenal pesa wanayolipwa weekly na ufananishe huo mshahara wa Ivan Toney analingana na nani pale Gunners
 
kipindi mkichukua kombe ilikua ikiitwa kombe la shirikisho na sio epl
mnasafari ndefu sana nyie wajane

Sent using motorola 78
 
Hivi hata unajua EPL imeanza lini!?
Hebu punguza uvivu tumia hata Gugo Kupata elimu, na sio kivamia tu mahala na kujipambanua bila kuwa na elimu ya unachonipambanua nacho. A ha lujivua nguo

Team ambazo zimechukua epl ni hapo wamekaa kulingana na idadi ya makombe ya epl waliyonyanyua toka iwe epl
Man u
Man city
Chelsea
Arsenal
Liverpool
Leister
Blackburn lovers
 
miaka mingap mnasukuma saii bila kombe

Sent using motorola 78
 
Kuna wachezaji wanne hawatokua kwenye selection.

Watatu wana covid mmoja enka ina mushkeli.

I think we are good to go.
 

Hii mbanga imeanzishwa 2006 ..imagine huyu mwanzisha Uzi alikuwa may be na miaka 33 ..mpaka si atakuwa mzee wa siku!!?.

Sema namlaumu sana kwa kuanzisha huu utopolo maana toka 2006 mpka leo hii arse8 hata top four ni mtihani.

Ngoja niwaulize swali nyie mbuzi ..hivi uefa Mara ya mwisho mulishiriki lini?
 
Unajua sisi wasaka ajira tunapitia mengi sana, unakumbuka ule Uzi wake wa maisha aliyopitia?! Kumbe alikuwa anatuvuta bana ..dah jamaa kanipiga hivi hivi wazi wazi aise mkuu Castr
 
Unajua sisi wasaka ajira tunapitia mengi sana, unakumbuka ule Uzi wake wa maisha aliyopitia?! Kumbe alikuwa anatuvuta bana ..dah jamaa kanipiga hivi hivi wazi wazi aise mkuu Castr
Huo uzi niliwahi kuuona ila sijawahi kuusoma.

Mara ya kwanza naiona hii id ilikua inaulizia ghorofa maeneo ya Mbezi. Lakini alikua anatoa mahitaji ambayo yalionyesha hataki swala lifanikiwe ila anataka aonekane anaweza panga ghorofa.

Second time ikawa vifaa vya kamera. Na ndiyo pale akawa anakwepa kufanya biz.

Its true job seekers tunakua desperate as bili zinakuja, watoto wanakua, wazazi wanatarajia tuwalee so at times tunajikwaa tukikutana na watu kama Ugumu wangu

Pole bro.
 
Ni tapeli kuna pesa nilimtumia mpaka leo kapita nayo. Ilikuwa ni issue ya kazi mkuu..
Kha! Kumbe we ni boya kiasi hicho

Ngoja nikipiga machenji nikupe ajira mimi mwenyewe, si unajua zungu la mawe halifi lina fifiatu.

Kwa sasa nimefifia, ila stone litapigwa tu, one day, yes.

Na ikitiki lazima nikutafute mdogo wangu, si unajua kaka yako book noh.



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…