Baada ya kipigo cha 5 - 1 dhidi ya Sunderland mashabiki wa Arsenal wamekua wakishangilia wakisema wamemfunga mdomo Lee baada ya dhihaka zake.
Mashabiki wa Sunderland wanadai kocha wao alikua anatania hakua serious na ile kauli. Hivi ingetokea wangetufunga jana stori ingekua hii hii? Kwamba 'Tumeshinda ila kocha alitania?'
Mi natafuta interview ya kocha wao baada ya mechi