Na sababu ya kucheza 4-2-3-1 ni lijaza sehemu kiungo. Unaposhambulia unakuwa na wanne na unapozuia unakuwa na watano plus hao watatu waliokuwa wanashambulia kama mfumo wa pressing ameuweka sawa. Unashambukia na watano na unalinda na nane as kuna box to noxid walio na speed yakutosha kushuka n akupandiaha team kwa wakati mmojaNilimaanisha kuhusu formation.
Timu nyingi zinacheza 4 2 3 1
Yea so ulivyodai pumzi imemkatia na anatumia formation ya wengi 4 4 1 1 ndiyi nikakuliza kama upo seriousNa sababu ya kucheza 4-2-3-1 ni lijaza sehemu kiungo. Unaposhambulia unakuwa na wanne na unapozuia unakuwa na watano plus hao watatu waliokuwa wanashambulia kama mfumo wa pressing ameuweka sawa. Unashambukia na watano na unalinda na nane as kuna box to noxid walio na speed yakutosha kushuka n akupandiaha team kwa wakati mmoja
Kwa ligi ya uingereza siyo kwamba hiyo klabu ikikomaa kutafita mwekezaji itakua ngumu ila tatizo ni kwamba FFP inawabana sana. In fact timu inayoshuka daraja inabidi iuze mastar kwakua wage bill yao itavuka matakwa ya FFPNicolas Pepe at £71m cost three times more than the entire Sunderland squad (£21m)
Kiroho safi
mechi nne ni kushinda sana😂Hivi kocha amegundua nini mbona anashinda sana mechi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Mkuu acha wivu, tunaijua arsenal ya sahivi na hiyo iliyokua inapoteza mechimechi nne ni kushinda sana[emoji23]
Mechi 4 ushindi unachukulia poamechi nne ni kushinda sana[emoji23]