Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Na ww ni mmoja wa hao mashabiki?Mashabiki wengi wanaamini Auba ni mzigo. Kwamba alikua anaizuia timu kushinda
Hana uwezo wa kuambukiza FIGHTING SPIRIT kwa wenzakeMashabiki wengi wanaamini Auba ni mzigo. Kwamba alikua anaizuia timu kushinda
Hivi karibuni katika baadhi ya mechi imekua kwamba Auba akiwa pale mbele hauoni tofauti na angekua hayupo. Kuscore kumekua kugumu na kupress kwa intensity ya Laca ameacha.Na ww ni mmoja wa hao mashabiki?
Auba ametuokoa mara nyingi refer FA cup glory ila changamoto zake za nje ya uwanja ndio inaletelea form kushuka mara kwa mara.
Tumpe heshima yake anayo stahili.
He did the same with Partey and we paid the price as Partey's situation worsened and he was out longer and we started dropping points in silly games.I can't believe Arteta was yelling on Martineli to get back to the game and stop wasting time even when Arsenal is one goal up... that's wonderful. The young coach is learning his lessons: The best way to defend is to attack
I just hope those defeats end up appearing in our amazon documentary and they will be characterized as 'The moments the club stick together' not as the defeats that got us outta top 4.Same here. My thing is how can we lose to Everton and Brentford?? Those are points we can't afford losing.
But all in all, we are in a right path and safe hands under MIKEL ARTETA
La #ArtetaOUT halina mjadala, jama tunahitaji kuanza kushinda tena mataji, tipate mwalimu serious wa kitufikisha hukoSiku kama ya leo kila shabiki anatamani kuganda kwenye huu uzi, a clean sheet, minus negative goal difference and a fourth position.
A perfect combo.
Sasa timu ipokee kipigo unaona watu wanasusa na kuanza kutukana wenzao hawajui mpira na kocha ataitwa kinabo.
#ArtetaOut in with computerarsenal the mastermind
Kwa hio vipi Arteta aendelee?Siku kama ya leo kila shabiki anatamani kuganda kwenye huu uzi, a clean sheet, minus negative goal difference and a fourth position.
A perfect combo.
Sasa timu ipokee kipigo unaona watu wanasusa na kuanza kutukana wenzao hawajui mpira na kocha ataitwa kinabo.
#ArtetaOut in with computerarsenal the mastermind
Mwamba nani?Kwa hio vipi Arteta aendelee?
Mwamba anaupiga mwingi sio?
Hamko serious na furaha zenu, Arteta ni kujichekewesha kufika tunakotaka kwendaKwa hio vipi Arteta aendelee?
Mwamba anaupiga mwingi sio?
Mfano kocha kutoka wapi unadhani atakua serious?La #ArtetaOUT halina mjadala, jama tunahitaji kuanza kushinda tena mataji, tipate mwalimu serious wa kitufikisha huko
Hahahaaa waache wachekelee kwa muda maana hio nafasi 4 inawenyewe, kwa huyo kocha na wachezaji wakuungaunga Arsenal ni Europa league tu.Hamko serious na furaha zenu, Arteta ni kujichekewesha kufika tunakotaka kwenda
Muangalie Zidane muangalie Pep.Hamko serious na furaha zenu, Arteta ni kujichekewesha kufika tunakotaka kwenda