Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nasubiri kuona mashutii ya mbali ya mnyama Lanzini Speed za fornals + chenga na nguvu za Antonio
 
Mara ya mwisho Westham kutufunga Arsenal ni 2015.

Mara ya mwisho Westham kuwafunga city ni lini?
Carabao

Man city 0-0 westham

Epl

Man city 2-1 westham


Nambie westham kamfunga Lin man city mara ya mwisho ...!
 
Acha sound. Jibu swali
Mimi sibishani na walevi ...

Huu msimu westham hajatufunga ...

Na kama unataka historia ,mara ya mwisho westham kumfunga man city ilikuwa 19 September 2015 ,tena hao wagonga nyundo walitufunga 2-1 .....!


Kiufupi westham kwa city ni underdog kenge wewe
 
Sara mtandaoni ndiyo una matusi hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…