computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Achana na holding wewe huyo mtoa boko mambo ya experience kwenye timu hayana muda kwa sasa for example nkikuuliza kati ya Ramsdale na Holding nani anastahili kuwa Captain utasema Holding?itakuwa ni Joke of the year today Captain wa City ni Ruben Dias na amewakuta De Bryne Mahrez Silva hao wote kawakuta but Kitambaa kapewa yeye Holding katika timu yetu ni [emoji1005][emoji706]Sijaelewa unazungumzia experience ipi mkuu maana yupo pale kwa miaka 5-6 sasa. Na ukiondoka partner ya Gabriel na white kwa sasa. kabla ya hapo holding ndo alikuwa anaanza huku gabriel, luiz na Pablo mari wakipishana. Kwahiyo km ni issue ya uzoefu sidhani km anahitaji tena uzoefu
Acha kujipa moyoo,wakati uhalisia wa timu yako unauona,..hizi nyumbu na timu zingine...zitaukimbia huu uzi..ipo siku...hopeful mko poa wanafamilia wenzangu wa ARSENAL.
Unazozisema sio sifa za kuwa nahodha wa timu. Kwamba mwenzako akitoa boko basi wewe ukamfokee au ukampige!? Huwezi kuwa kiongozi wa namna hiyo. Kiongozi sio tu kujituma bali awe ni muunganishaji wa wenzake, kwake sifa kuu iwe ni umoja na ushirikiano kwa timu nzima.Achana na holding wewe huyo mtoa boko mambo ya experience kwenye timu hayana muda kwa sasa for example nkikuuliza kati ya Ramsdale na Holding nani anastahili kuwa Captain utasema Holding?itakuwa ni Joke of the year today Captain wa City ni Ruben Dias na amewakuta De Bryne Mahrez Silva hao wote kawakuta but Kitambaa kapewa yeye Holding katika timu yetu ni [emoji1005][emoji706]
Arsenal haina Captain kwa sasa kwa player yoyote hakuna I remember mwaka 2004 Lauren defender wetu alitoa boko uwanjani I think vs Roma uwanjani but wameshapanda ndege wapo angani Vieira kumbe bado ana hasira akamtwanga ngumi huko huko juu coz ya boko alilotoa uwanjani but nani kwa leo hii anaweza do kama alivyofanya Vieira?who?nani?jibu ni no one so angalau namuonaga Ramsdale ana vitu vya kuwa Captain may be akipata chance anaweza kufanya kitu
Pambana mze na litimu lako..temana na Arsenal..Acha kujipa moyoo,wakati uhalisia wa timu yako unauona,
Unashindaa leo, fixture inayo kuja una haribu.Ndo nini?
Ataachaje na furaha yake ni kuja kuonhea na sisi tunaoongea. Kule kwao sisi hatunauda nao wameamua kija kutujazia giza hapaPambana mze na litimu lako..temana na Arsenal..
leo vip jman wagonga nyundo tunawapgaje ?Ataachaje na furaha yake ni kuja kuonhea na sisi tunaoongea. Kule kwao sisi hatunauda nao wameamua kija kutujazia giza hapa
Huna uwezo wa kuwafunga westham ,Bora ukalale tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]leo vip jman wagonga nyundo tunawapgaje ?
Yamekua ayo tenaHuna uwezo wa kuwafunga westham ,Bora ukalale tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nikuchekeshe kitu, huku niliko kuna bia inatengezwa kutokana na mihogo, inakwenda kwa jina Impala Mandioca, ni noma, tatu tu lazima lugha ibadilike.Wewe na Bia wapi na wapi? Bia zako ni damu za watu.
Mara ya mwisho Westham kutufunga Arsenal ni 2015.Huna uwezo wa kuwafunga westham ,Bora ukalale tu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
I'm second from you mkuu.namsaport arteta kwa Kila kituFrom today onward, no matter what happens to Arteta I am declaring to be his die hard fan.
Just like Guendouzi
Mkuu kwa reasons zipi?From today onward, no matter what happens to Arteta I am declaring to be his die hard fan.
Just like Guendouzi
Usitaje vinabo kwenye uzi wetu mama wa kihindi wewe
What happened?From today onward, no matter what happens to Arteta I am declaring to be his die hard fan.
Just like Guendouzi