That may be inaweza kutokea bwana Mustache akiiacha team toka kifungo cha mfuko wake..ipo siku nasisitiza ipo siku..mishabiki ya nyumbu na timu zingine zitaukimbia huu uzi wetu pendwa..anyway hopefully mko poa wanafamilia wenzangu wa ARSENAL.
Let us be realistic mfano kwa sasa mchezaji anaambiwa choose side kwa Arteta wa Arsenal au Conte wa spurs unahisi ataenda wapi?Kwamba Arsenal imkose mchezaji halafu Spurs impate?
Hahaha dah Spurs msimu wa juzi alifika final ucl lakini ilipofikia kugombea mchezaji spurs na Arsenal nani alimpata? Hili litakua jipyait is possible, you need to accept the truth that tumepoteza mvuto meaning no longer an attractive destination for high profiled players
Arsenal haikupeleka ofa. Iliuliza bei ilipotajiwa haikupeleka ofa.That may be inaweza kutokea bwana Mustache akiiacha team toka kifungo cha mfuko wake
Arteta won against Mourinho katika kusajili.Let us be realistic mfano kwa sasa mchezaji anaambiwa choose side kwa Arteta wa Arsenal au Conte wa spurs unahisi ataenda wapi?
May be huyo mchezaji hajitambui kiakili na kifikra kwa mchezaji mwenye akili timamu na iliyonyooka hawezi kuja Arsenal akawa chini ya Arteta na hata akija Arsenal atakuwa ameshajichokea zake na si yule ambaye yupo kwenye class ya world playersArteta won against Mourinho katika kusajili.
Mourinho ana titles kumzidi Arteta na Conte combined.
Basi sawa acha tuone baada ya Arsenal kumkosa hawa spurs wakimchukua dusanMay be huyo mchezaji hajitambui kiakili na kifikra kwa mchezaji mwenye akili timamu na iliyonyooka hawezi kuja Arsenal akawa chini ya Arteta na hata akija Arsenal atakuwa ameshajichokea zake na si yule ambaye yupo kwenye class ya world players
Huu udhaifu haujaanza leo.Arsenal imekuwa weak against top teams, huu ni udhaifu mkubwa msimu huu. Naamini our defence iko poa this time around, tatizo ni kina Auba & co.
Ukiona tatizo unalo kwa zaidi ya miaka 10 hujashughuluka nalo au una shughulika nalo na hakuna mabadiliko basi tatizo lipo kea wanaotafuta huo ufumbuzi wa tatizo na sio watekekezaji wa mipango ya kuondoa Tatizo. (Uongozi na sio Wachezaji)udhaifu wetu mara zote ndiyo kuujenga ubora wetu.
..ninacho kiamini kaka tutarudi kwenye ubora wetu.Ukiona tatizo unalo kwa zaidi ya miaka 10 hujashughuluka nalo au una shughulika nalo na hakuna mabadiliko basi tatizo lipo kea wanaotafuta huo ufumbuzi wa tatizo na sio watekekezaji wa mipango ya kuondoa Tatizo. (Uongozi na sio Wachezaji)
Hadi Stan akiiachia team vinginevyo tuishi kwa matumaini haya haya...ninacho kiamini kaka tutarudi kwenye ubora wetu.
..mara zote hii timu yetu..lazima uwe na ugumu kaka..Hadi Stan akiiachia team vinginevyo tuishi kwa matumaini haya haya.
Hilo halina shaka. Ila kurejea huko kwenye hiyo imani ambao wengine sio imani bali matamanio yetu ni kuwa Stan has to go kwanza na sio vinhinevyo. Yeye ni gundu letu linaloishi...mimi imani yangu huwa ni moja wanfamilia wenzangu..tutarudi kwenye ubora.
..achana kabisa huyo mtu..yeye ni mfanya biashra..Hilo halina shaka. Ila kurejea huko kwenye hiyo imani ambao wengine sio imani bali matamanio yetu ni kuwa Stan has to go kwanza na sio vinhinevyo. Yeye ni gundu letu linaloishi