The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
FYI, Zlatan hana kombe lolote la maana wala tunzo yyte kubwa, ni mchezaji mdogo mwenye majivuno mengi.Zlatan pia alisema Chelsea ni klabu ndogo haiwezi kumsajili. Wote tukamuamini.
Na sasa hivi tumemuamini vile vile.
View attachment 2035511
So it's okay kwa wewe kufuata sources za udaku ... Eti aliyetamka
By the way, mimi nanunua screenshort za Arsenal akiwa juu ya Man Utd kwenye table ya ligi
Nina ka 50K hapa
Same games, same moves, same set plays, no different at all, when the players have the ball, you literally know how they will move it, other teams have seen that and I can imagine their practice sessions are so easy..Siku tunafungwa 8 na United ilikua tunafungwa ila tunaonyesha tunatafuta magoli. Nafikiri ndiyo sababu Arsenal chini ya Wenger ilikua na Djourou and the like ila kugusa UCL ilikua kawaida as Arsenal ilijiandaa kutafuta magoli.
Hii ilisababisha defense isiwe strong. Arteta kawekeza mno kudefend kuliko kutafuta magoli na hili ni tatizo. Timu nyingi zikiwa pressured eventually zinacrack. Arsenal hatufanyi hivyo na inakera.
If ever a team is going through a bad spell, Arsenal will always be there to gift them the confidence they need. This is a charitable team and we play to help teams get back on their feet (eg. The Scums, Everton etc). Don't count on Arteta to work any magic in the team. Our earlier 10 game unbeaten streak was due to the energy and efforts of a few passionate players like Ramsdale, Tomiyasu and maybe Lacazette. That has died off and now Xhaka's back (Mr Yellow Card). God help this team.He is going no where.
Hilo nalijua.FYI, Zlatan hana kombe lolote la maana wala tunzo yyte kubwa, ni mchezaji mdogo mwenye majivuno mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo Kamanda...
Bala Is Always Here...
Totally agree with with you, and their moves are slowSame games, same moves, same set plays, no different at all, when the players have the ball, you literally know how they will move it, other teams have seen that and I can imagine their practice sessions are so easy..
Tatizo kubwa la Arsenal ni forward isiokuwa na ujasiri wa kufunga magoli,na hili ni tatizo tokea alipoondoka Wenger,wanatafuta wachezaji wazuri wenye skills za kutafuta mipira lakini wafungaji hakuna,ukipata mtu kama Ronaldo and the likes kwenye timu kama Arsenal ,nina uhakika hawatakuwa na mpinzani...Same games, same moves, same set plays, no different at all, when the players have the ball, you literally know how they will move it, other teams have seen that and I can imagine their practice sessions are so easy..
Wewe una uelewa gani sasa wa mpira?team linajichezea ili mradi liende because ya coach then unasema watu hawana uelewa?timu ina goal difference negative then unasema watu hawana uelewa?last week Arsenal alikuwa ana chance ya kuingia top 4 leo Tottenham and Manchester United wametupita unasema watu hawana uelewa?timu mechi ya 2 mfululizo inafungwa after kuwa wa kwanza kuscore then unasema watu hawana uelewa?coach unamuingiza Nketiah na kumtoa Tierney is he mental fit kweli?au na wewe una upungufu katika brain yako?Humu watu wengi uelewa wa mpira ni mdogo mno, very reactionary fanbase.
Afu ngoja nikupige block kwanza naona upo obsessed sn na mimi.Wewe una uelewa gani sasa wa mpira?team linajichezea ili mradi liende because ya coach then unasema watu hawana uelewa?timu ina goal difference negative then unasema watu hawana uelewa?last week Arsenal alikuwa ana chance ya kuingia top 4 leo Tottenham and Manchester United wametupita unasema watu hawana uelewa?timu mechi ya 2 mfululizo inafungwa after kuwa wa kwanza kuscore then unasema watu hawana uelewa?coach unamuingiza Nketiah na kumtoa Tierney is he mental fit kweli?au na wewe una upungufu katika brain yako?
Man u & Spurs watadrop points, wala sio wakuhofia kama vile ni City/ Liverpool
Spurs next Away to brighton anaanza kudrop points ease tu
Answer my question unakimbilia block what for?am I right or wrong?answer me hili jukwaa limevamiwa na wapinzani wakati walishaanza kukimbia kimbia Arsenal lost 2 games in a row kwa weak teams ambazo waliplay 8 games without win leo wamejiokotea points kwetu?seriously?Afu ngoja nikupige block kwanza naona upo obsessed sn na mimi.
Take it easy bro, huu ni mpira tu. Tuvumiliane, kila mtu atoe opinion yake..that's sportsmanship.Afu ngoja nikupige block kwanza naona upo obsessed sn na mimi.