The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
U take it kwa timu gani uliyo nayo.Pressing has been impressive but I just don’t understand.
Utd defence is there to capitalise with FULL! pressing cos of their poor midfield support,Not half pressing.
ESR and Partey have been losing unnecessary Posession. Laca has to come on to make the hardwork pressing fruitful with a link up play. Odergaard is not offering enough .
Come on Arsenal!
This game is there for us to take it.
Sio kiasi, tuliwazidi sana kwasababu tuna wachezaji bora kuliko nyinyi mliojaza vitoto uwanjani.We all did. United walituzidi kiasi
Eti ni kweli mumeshinda na njaa?Ongo
Wacha aibu ndogo ndogo mkuu, leo usiilaumu kabisa Arsenal, imekutana na kikosi bora England.If Arsenal fails to get 3 points today mtakuwa mmejionea problem ipo kwa nani!
Kama kile ki Nkethia, hivi yule ni mchezaji wa kuifunga Man Utd?Sio kiasi, tuliwazidi sana kwasababu tuna wachezaji bora kuliko nyinyi mliojaza vitoto uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal haina wachezaji co kocha, mbn Arteta bonge la kocha kama OleNext Everton and West Ham mtaita Maji mma we are telling you every day Arsenal haina coach mnaishia kubwabwaja na kutalk shit endeleeni kuugulia soon we are going to speak the same language
Fukuzeni wachezaji wote, hamna timu nyie kenge.Mimi SiO fan wa arteta, amerostisha wengi wanataka kuondoka January, eg leno, Mari cedric, laca, Pepe. Na hii game ilimfaa sana Pepe at half time. Yameishakuwa Ngoja tueendelee kuuguza maumivu, after all this december, we all know how we fare during this period.
Umfunge nani? Labda MboweTushinde tu kwakwel Kesho itakuwa nzurii Sana tukishinda
Yea leo tunajifariji na kuangalia nafasi ya tano tuliyopo.Eti ni kweli mumeshinda na njaa?
Manyua sio kosi bora, ni team iliyoamua tu kujitutumua na kushinda hii game. Tatizo la Arsenal ni kaliba ya mwalimu na uwezo wake mdogo. Hana jipya na hawezi kuja kuifanya Arsenal iwe team kubwa.
Kwahiyo Arsenal ni bora kuliko Man Utd?Manyua sio kosi bora, ni team iliyoamua tu kujitutumua na kushinda hii game. Tatizo la Arsenal ni kaliba ya mwalimu na uwezo wake mdogo. Hana jipya na hawezi kuja kuifanya Arsenal iwe team kubwa.
Kuna mabadiliko ya lazima Arsenal nayo ni kuacha uninga wa kukaa na Mwalimu muda mrefu tena asiye na uwezo kwa kuamini juu ya kuvumilia mambo yatabadilika. Hayawezi kubadilika, liva walipoamua kujipambanua walivuta Kloop leo hata akinunua Jota, Mane toka team ndogo baada ya Muda wanakuwa wachezaji wa kubwa, huo ni uwezo wa mwalimu kuwa o goza wachezaji kufikia maximum potential zao. Arteta hana huo uwezo.
Vichezaji vyao vingi hata sivijui, Lukonga ndio nani huyo, anatokea Ukonga nnTeam ina lukonga harafu kiongozi arteta hayo mtumaini ya kupataga hata draw mnayatoleaga wapi?