Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I remind you
 
Unaambiwa toa technical reasons wewe unabwabwaja. Kwahiyo hizo kwako ndo technical reasons? Ebu nijibu kwa ufupi na kwa kueleweka kwamba kwanini usipuuzwe kwa kushindwa kutoa sababu za kiufundi za arteta ku-fail katika arsenal!?
I remind you
 
I remind you
 
ARTETA kashindwa kuzifunga timu kubwa zote, zaidi ya Spurs tuu....j3 tupo na Everton ngoja tuone nini kitatokea.
 
Next Everton and West Ham mtaita Maji mma we are telling you every day Arsenal haina coach mnaishia kubwabwaja na kutalk shit endeleeni kuugulia soon we are going to speak the same language
Andaa CV bro we peke yako ndiye wa kuiokoa hii timu
 
Hata Manchester United anaifunga Arsenal?Manchester United hii hii?kisha mna talk shit tukiwaambia ukweli humu tunaonekana haters
sisi tunaonekana haters tuna mapenzi ya kweli na timu yetu ya Arsenal Arteta is not a coach ambaye ataifanya Arsenal iwe bora and that's will not going to happen ever ever Manchester United nine matches leo anaelekea kutufunga seriously?no way Goodnight Guys
 

Tumeishakuchoka,
 
Haya endeleeni kutalk shit nawaita mje tena Arsenal haina coach na mnatakiwa mlijue hilo na Arteta hataipeleka Arsenal Top 4 wala kwenye any European competition this season endeleeni kujazana ujinga humu kundini wakati kocha ni Arteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…