Tofauti ya TAA na Tomiyasu inakuja pale wakati wa kumwaga maji, inabidi akiwa mazoezini afanye mazoezi ya kupiga mipira mingi ya crosses inayotua ndani sitaSaka vs deep block opposition huyu mwamba mnyama, kijana miaka 20 anakuwa double marked in every game.
Tomiyasu akiwa Inverted mnamuonaje wakuu? Nadhani Arteta kaicopy kwa Klopp anavyomchezesha TAA.
Ishu siyo kumwaga maji ishu ni una clinical finishers?Tofauti ya TAA na Tomiyasu inakuja pale wakati wa kumwaga maji, inabidi akiwa mazoezini afanye mazoezi ya kupiga mipira mingi ya crosses inayotua ndani sita
Trent mtu na nusu, Mr. Assist kama De bruyneTofauti ya TAA na Tomiyasu inakuja pale wakati wa kumwaga maji, inabidi akiwa mazoezini afanye mazoezi ya kupiga mipira mingi ya crosses inayotua ndani sita
Hili nalo ni tatizo lingineIshu siyo kumwaga maji ishu ni una clinical finishers?
Tierney alikua anamwaga maji vizuri tu kisha nini kinatokea?
Zile striker zetu zinatufelisha sana,Dusan Vlahovic hataki kuja Arsenal
Sambi confidence anaipata akicheza na small teams if it is not true why kwenye big matches haonekaniki?Ni asset kubwa sana, look at his confidence and passing ability akiwa pale eneo la mid
Hata yeye pia ni mchezaji mwenye umri mdogo kwa hiyo eqn imebalance.Sambi confidence anaipata akicheza na small teams if it is not true why kwenye big matches haonekaniki?
Neymar, Mbappe na Messi confidence wanaipata wakicheza na nani?Sambi confidence anaipata akicheza na small teams if it is not true why kwenye big matches haonekaniki?
Daaah mkuu, Sambi at his young age na katoka timu na league ambayo ni ya kawaida sana and then BAM! anatua Uingereza na mechi against city or Liverpool kucheza dhidi ya viungo ambao wamezidi kila kitu yaani umri, uwezo na experienceSambi confidence anaipata akicheza na small teams if it is not true why kwenye big matches haonekaniki?
Dg kwasasa ameona yupo kwenye potential kubwa, na vijana wa sikuhizi wanataka mafanikio ya haraka ktk soka na ndio maana wanapenda kwenda kwenye timu ambazo tayari zipo structuredDusan Vlahovic hataki kuja Arsenal
Tunaitaj viungo wanaofunga pia, kama washambuliaji hawafungi basi viungo watupe mabao kitu tunachokikosa kwa sasaArsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)
Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
Technically Arsenal inahitaji kuwaondoa Auba na Laca kwenye X1 basi goli zitaanza kumiminika, Ø kashamtoa Laca, Vlahovic ilibidi amtoe Auba ila ndio hivyo Vlahovic anatuyeyusha.Arsenal na Tottenham zote ziko kwenye ushindani wa kumsajili kiungo wa kati wa Sweden Dejan Kulusevski mwenye umri wa miaka 21 kutoka Juventus.(Calcio Mercato-in Italian)
Kwani pale Arsenal tunauhitaji wa kiungo mshambuliaji?
Vlahovic mtu na nusu tulingelipata hili jitu mbona ingekuwa Fire, Naimagine Locatelli & Vlahovic sijui ingekuwaje hii Arsenal.Technically Arsenal inahitaji kuwaondoa Auba na Laca kwenye X1 basi goli zitaanza kumiminika, Ø kashamtoa Laca, Vlahovic ilibidi amtoe Auba ila ndio hivyo Vlahovic anatuyeyusha.
Fiorentina wameweka bei ya pauni milioni 55 ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic kwa nia ya kusimamisha nia ya Manchester United - lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hatarajiwi kuhama mwezi Januari. (Mail)Vlahovic mtu na nusu tulingelipata hili jitu mbona ingekuwa Fire, Naimagine Locatelli & Vlahovic sijui ingekuwaje hii Arsenal.
wakala wake ndiye muhuni...ila arsenal wana option kadhaa tayari,Dusan Vlahovic hataki kuja Arsenal
Daaaah aseee Aour tulimuwinda balaaFiorentina wameweka bei ya pauni milioni 55 ya kumnunua mshambuliaji wa Serbia Dusan Vlahovic kwa nia ya kusimamisha nia ya Manchester United - lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 hatarajiwi kuhama mwezi Januari. (Mail)
Hawa Fiorentina washaanza kuwa na tamaa mwisho wa siku atakuwa kama Aour kwa Lyon walivyoweka tamaa mbele