Nadhani hata holding midfielder kwasababu ya Elneny na Partey kwenda Afcon na pale katikati tutabaki na AM Niles na Lokonga ambao bado hawapo matured na wakati huo Xhaka atakuwa hajarudi kutoka kwenye majeruhiKipaumbele cha Arsenal January ni kusajiri striker
@FabrizioRomano
Unaota huku ukiwa unatembea.Kesho West Ham anacheza na City. Asiposhinda itabidi Arsenal ashinde dhidi ya united ili kuisogelea top four.
Future talentSambi Lokonga today
Most passes: 88
Most successful passes: 82
Most passes in opp half: 60
Most key passes: 6
Pass percentage: 91.7%
Tackles: 2
Clearances: 1
Gained possession: 8
Excellent response from him after his struggles at Anfield.
Anfield experience should not be used to make any comparison going forward. That's why you never heard arsenal fans complaining world wide about it because we all know our season is 2023/2024. Tunalibeba msimu huo.Sambi Lokonga today
Most passes: 88
Most successful passes: 82
Most passes in opp half: 60
Most key passes: 6
Pass percentage: 91.7%
Tackles: 2
Clearances: 1
Gained possession: 8
Excellent response from him after his struggles at Anfield.
InshaallahAnfield experience should not be used to make any comparison going forward. That's why you never heard arsenal fans complaining world wide about it because we all know our season is 2023/2024. Tunalibeba msimu huo.
2021/2022- we are fighting for top 4
2022/2023- cementing ourselves as a serious title contender
2023/2024- we will win EPL again. That will be after 20 years.
xhaka bado 4weeks anarudi, ni kweli holding md anatajwa kununuliwa,renato sanchez anatajwa sanaNadhani hata holding midfielder kwasababu ya Elneny na Partey kwenda Afcon na pale katikati tutabaki na AM Niles na Lokonga ambao bado hawapo matured na wakati huo Xhaka atakuwa hajarudi kutoka kwenye majeruhi
nadhan ndio malengo ya klabu,ndio maana wanasajiri vijana wakue nakuzoeana pamojaAnfield experience should not be used to make any comparison going forward. That's why you never heard arsenal fans complaining world wide about it because we all know our season is 2023/2024. Tunalibeba msimu huo.
2021/2022- we are fighting for top 4
2022/2023- cementing ourselves as a serious title contender
2023/2024- we will win EPL again. That will be after 20 years.
Itakuwa jambo jema sanaxhaka bado 4weeks anarudi, ni kweli holding md anatajwa kununuliwa,renato sanchez anatajwa sana
Chochote unachovuta hakikisha moshi hauwafikii wanaoUnaota huku ukiwa unatembea.
Kesho tunachana mikeka ya wengi Duniani.
Goli moja tu kutoka kwa Ronaldo linatosha kumpa pesa kanjibahi.
Sanches hata kama ni holding mid hata hachezi kama holding mid.xhaka bado 4weeks anarudi, ni kweli holding md anatajwa kununuliwa,renato sanchez anatajwa sana
Hii umeandika kishabiki. United wana timu yenye quality compared to us, wanapata mtu wa kuwaorganize on the pitch, maana yake wanarudi kwenye Top four race.United amefanya nini cha kumrudisha kwenye top 4 race?
Yeye ni wa 8 nana anakutana na kibonde mwenzake chelsea
Its true timu ina quality lakini wanaanza kukutana na big six kipindi hichi na hawana squad depth ya kucover kila nafasi so hiyo race haiwezi kua won within the next few weeks.Hii umeandika kishabiki. United wana timu yenye quality compared to us, wanapata mtu wa kuwaorganize on the pitch, maana yake wanarudi kwenye Top four race.
Ukimuangalia Solskjaer unaona alikosa Central compactness, unapokosa central balance na Frontline yako haina aggression ya kutosha you're doomed, you can't control games( on & off the ball).Its true timu ina quality lakini wanaanza kukutana na big six kipindi hichi na hawana squad depth ya kucover kila nafasi so hiyo race haiwezi kua won within the next few weeks.
This is a team that self proclaimed themselves as title contender but today we discuss their possibility in chasing top four.
Unaamini quality yao itasaidia soon?
Duh! Lakini mkuu Sisi tunajikuta wajuaji sana. Yaani automatically tu inakuwa hivyo sijui imekaaje.Ukimuangalia Solskjaer unaona alikosa Central compactness, unapokosa central balance na Frontline yako haina aggression ya kutosha you're doomed, you can't control games( on & off the ball).
Atachokifanya Rangnick ni kuincrease Aggression within blocks kwa methods anazozijua yeye sababu that is an elite football mind, profile & quality are there ndio maana nasema United wapo kwenye Top four race.
ni CM tu,same to sambi, soka la sasa si lazima uwe na DM/Holding MDSanches hata kama ni holding mid hata hachezi kama holding mid.
Mkuu mpira sio mazingaombwe, ukiangalia Idea & Track record ya Rangnick utaelewa nachokisema, United wana quality, wana profile wanaweza shida mechi yoyote km watakuwa Organize on the pitch, tusiangalie mpira kishabiki.Duh! Lakini mkuu Sisi tunajikuta wajuaji sana. Yaani automatically tu inakuwa hivyo sijui imekaaje.
Huyu Rangnick just one week ago hakuwa kabisa katika hiyo mipango ya kuongeza "aggression within blocks"
Hebu tutulieni na kudeal tunachokiona kwa sasa. Na tunachokiona kwa sasa ni kwamba United hawawezi maliza ndani ya top four.
After 6 games from today yaani after game number 19 nadhani wapenda mpira worldwide watakubali kwamba arsenal ni serious top 4 contenders wa EPL 2021/2022.
Central compactness sijaelewa umemaanisha nini. Ila kama unaungana na wanaodai united ina shida kwenye mid basi hapo nitakua sina cha kusema.Ukimuangalia Solskjaer unaona alikosa Central compactness, unapokosa central balance na Frontline yako haina aggression ya kutosha you're doomed, you can't control games( on & off the ball).
Atachokifanya Rangnick ni kuincrease Aggression within blocks kwa methods anazozijua yeye sababu that is an elite football mind, profile & quality are there ndio maana nasema United wapo kwenye Top four race.
Pochettino alifanya nini na hiyo Spurs? Tumsikilize conte kwa 100% bila kujiuliza?Mkuu mpira sio mazingaombwe, ukiangalia Idea & Track record ya Rangnick utaelewa nachokisema, United wana quality, wana profile wanaweza shida mechi yoyote km watakuwa Organize on the pitch, tusiangalie mpira kishabiki.
Kwangu mimi Top four race ni United, West ham, Arsenal.
Kuna mtu nilimwambia jukwaa la Chelsea kuhusu Spurs kuingia Top four ni ngumu kwamba inakosa watu muhimu kwenye build up phases, akajibu kimahaba kwamba itaingia.
Juzi Conte kafungwa akaongea hiki kitu
Antonio Conte: “After three weeks I am starting to understand the situation. It is not simple. At this moment the level at Tottenham is not so high.” #THFC
Central Compactness = Maintain short distance between teammates in Central zonals, inaleta urahisi wa kucounterpress timu inapolose Possession, kwenye transition ni nguzo ya kucontrol games kama Liverpool wanavyofanya.Central compactness sijaelewa umemaanisha nini. Ila kama unaungana na wanaodai united ina shida kwenye mid basi hapo nitakua sina cha kusema.
Conte kaenda spurs. Juzi spurs kafa kwa Mura kwa kawaida timu ikipokea kocha au mchezaji mpya hua inaboost morali so kwa united ingekua hivyo kama angekua anakutana na timu dhaifu ila shida ni anaanzana na big six.
Wakislip game na chelsea watataka kuamka kwa Arsenal, wakislip na hapo the whole bus will be heading downhill.