Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha
aisee mnanichekeshaga sana majirani mnavyosifiaga wachezaji wenu.

Nyie nyie mlikuwa mnatuponda kwamba Kai harvetz tumepigwa ila kwenu pepe mlipata bonge la mchezaji

Juzi kuna shabiki hapa amesema Pepe apigwe risasi.
Mkuu hawa wakishinda mechi mbili mtawalia, wanapamba timu zao balaa, yaani duh
 
Huyu Tavares bado ni mdg sana kiumri hata league ya Uingereza ni ngumu sana hasa kama hujakulia kwenye timu za Uingereza

Future yake ni nzuri sana, angalia mikimbio yake ilivyo na hatari uwanjani

Ila kosa lake lipo kwenye Finishing ya jambo analotaka kulifanya na hii ni kutokana na Lack of confidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…