Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
We are fine bro we are fine.Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford
Sisi tunasubiri Nini?
Huyu dogo aki-Improve his decision making ni bonge la mtu.Sio kweli. Tavares ni mchezaji mzuri tu!
Atafika mbali sana huyu dogo
Huo ndio ukweli. The team is progressing so well.Page ya Ig ya Arsenal ina comments za watu wanaoonyesha kwamba wanajua timu ilipo na hawajali matokeo ya leo ila wanaiomba timu izinduke kuelekea next match.
Am in love with this.
Yeah!Huyu dogo aki-Improve his decision making ni bonge la mtu.
Usitufananishe na wehu Sisi.Arsenal na manure ni mapacha wasiofanana
Msimu unaanza united inajitambulisha kama title contender. Mechi ya pili Pogba ana assissts zaidi ya nne, Ronaldo kashascore Fernandes anafananishwa na De Bruyne. Varane anatajwa kama simenti katika ukuta.Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford
Sisi tunasubiri Nini?
Mzee unahitaji kujifunza mambo ya mpira, kwani hujui kuwa tuna inexperience timu na tumepoteza mchezo against the strongest side, tulikuwa na 10 games unbeaten run hatukusikia haya, hizi ndio cognitive bias & wrong judgements. Tafuta kitabu cha Thinking fast & slow by kahneman mkuu kinasaidia sn.Ole Gunnar Solskjaer faces the sack after Manchester United reportedly called an emergency board meeting following Saturday's humiliating 4-1 defeat at Watford
Sisi tunasubiri Nini?
Press ya Liverpool ilikuwa aggressive enough sababu ndio ilikuwa njia kuu ya kuifunga hii inexperienced Arsenal, nadhani uliona Lokonga alichokuwa anafanya akipressiwa, Elneny angeanza angetupa unafuu, kwenye high technical game km hizi unahitaji wachezaji km Xhaka (press resistant), ndio maana huwa nashangaa mtu anasema Lokonga for Xhaka, Lokonga anatakiwa acheze against weak side kama Norwich & co kuimprove his game sababu ni mzuri kwenye possession paka pale atakapo mature kucheza this kinda game.Usitufananishe na wehu Sisi.
Watu wanasajili ujinga tu na kulipa mishahara mikubwa kizembezembe unatufananisha na Sisi ambao tunajua tunapokwenda??
Umeona tulivyocheza first half?? Individual error zinamtokea mtu yoyote yule
Mashabiki siku zote sio wastahmilivuMsimu unaanza united inajitambulisha kama title contender. Mechi ya pili Pogba ana assissts zaidi ya nne, Ronaldo kashascore Fernandes anafananishwa na De Bruyne. Varane anatajwa kama simenti katika ukuta.
Arsenal tunashika nafasi ya mwisho.
Game week 12 Arsenal ni wa 5 anahitaji points tatu kwenda nafasi ya nne. Next match ana New Castle wakati United next match ana Chelsea. Akishinda ndiyo amfikie Arsenal alipo.
Kubwa zaidi tuna clean sheets nyingi kumzidi tuliyeambiwa ana ukuta mkali ligi nzima.
Nani anatakiwa awe na presha ya kufukuza kocha?
Huko IG comments ni 'We Move' 'We will bounce back next match' ' Minor setback for a major comeback' sijaona 'Arteta out' labda commenr ya hivyo ije baada ya mimi kutoka.Mashabiki siku zote sio wastahmilivu
Kama unavyochagua chama cha siasa.Ila wasee huwa nashangaa sana. Inakuwaje mtu anashabikia team kama Arsenal? What's the motive behind the decision to root for Arsenal?
Sorry to ask u this Are u married or do you have a lover!?Ila wasee huwa nashangaa sana. Inakuwaje mtu anashabikia team kama Arsenal? What's the motive behind the decision to root for Arsenal?
Eh Mwenyezi Mungu tunaomba usikie maombi haya, na Utupatie ushindi katika mechi yetu dhidi ya Liverpool. Amen
Pole Sana mkuu, haya jifute naona umechafuka na tope hili!Tumegaragazwa. Tuamke. Tujifute. Tukusanye nguvu. Tuendelee na safari. Kutesa kwa zamu. Wanaoponda nawo wataambulia haya haya siku…
C O Y G till we die..
Nyie mutateseka milele😂😂😂😂Tumegaragazwa. Tuamke. Tujifute. Tukusanye nguvu. Tuendelee na safari. Kutesa kwa zamu. Wanaoponda nawo wataambulia haya haya siku…
C O Y G till we die..