Liverpool are too good man, tumekuwa na matatizo ya kuhold high line press per 90 (thanks to our lack of experience ) we will be forced to sit deep & liverpool is the best team to unlock deep block thru combinational play, counter pressing, crosses.
Thanks to Arteta's top structure, Pia Tomiyasu & Ramsdale tumeimprove sana technical level in build up play phases, kwa sasa tunaweza kuencounter liverpool's aggressive press lakini bado ni ngumu kwenda toe to toe the full 90. Mara nyingi tunakuwa mentally passive & forced deep hapo Liverpool will start to sustain pressure which is too big for us to handle.
Tukipata point hata moja nitashukuru sn, hii game inategemea sana Mentality ya wachezaji wa Arsenal itakuaje siku hiyo sababu quality & profile are there,
the issue ni aggressiveness to hold high line press within structure in full 90 min lakini kwa mechi kadhaa za nyuma tumewaona wachezaji kama Saka, ESR, Partey, Gabriel ambao kocha anawahitaji kuwa mentality monsters kwenye game za aina hii ndio wanakuwa passive in bad moments of the game, ukiwaheshimu wapinzani usitegemee makubwa.