Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pepe amepewa muda wa kutosha sana ili aonyeshe kipaji chake na uwezo alionao ila ameshindwa, zaidi amekuwa akijipiga chenga mwenyewe na movement ambazo hazina maana

Our coach Mikel Arteta sio mjinga kuendelea kumkalisha kwenye Mkeka Coz hata mazoezini anaonekana hajitumi vzr
 
Nani hao many others, I shall mention only three, ukitaka zaidi nitawashusha, kwanza tukubaliane kwenye hao 3.
1. Fernando Morientes: aliupiga mwingi RM alivyokuja Liverpool ukakataa lakini alipoondoka na kwenda Valencia, tuliuona ule mpira wake wa RM
2. Diego Forlan: Alivyojiunga Man-u 2002 miaka 2 mpira wake ulipotea mpaka aliporudi tena Laliga ndio mpira wake ukarudi; namalizia na
3. Cesc Fabregas: aliondoka Arsenal kwa mbwembwe kwenda Barca lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia he ended up warming the bench mpaka akaamua kurudi EPL- Chelsea ambapo angalau mpira wake ulirudi.
 
Mkuu siku zote usajili huwa ni gambling, mchezaji either ata click kwenye mfumo au atashindwa kuendana na mfumo wa timu

That's football
 
Pepe ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa ila ndo ivo skills sasa hana kbsa yule aende tu bwana
 
Sasa kama Auba na Laca are betrayed by their ages huyu Ramsey kwake ni vipi? Sioni kama atarudi pale na sitamani arudi. Same na hizi rumours za kumrudisha Sanchez unamrudisha mchezaji aliyekua anakucheka wa kazi gani? Kama kweli Arsenal inamlenga Jovic mi nasema hewala.
 
Renato Sanchez alifeli? Sidhani kama inafaa kuita alifeli lakini acha nitumie hilo neno.

Renato alifeli akiwa kinda, Bayern walimsajili kama mchezaji waliyeona ana potential kisha wakamtoa kwa mkopo Swansea.

Alipofika Swansea Renato akawa na attitude mbovu (Nilisema hii ishu msimu uliopita wa usajili) akawa anajiona hakutakiwa kua pale Swansea na vile kuamini destination yake ni timu kubwa akawa anadharau wachezaji wenzake pia.

Hili likawa doa zaidi.

Sasa Renato bado mdogo anahitaji game time akajiondokea na ndiyo leo tunamuona pale. Umesema kwamba kuna wachezaji ni wa farmers league hii ni kweli kabisa.

Bundes liga siyo farmers league? Kwanini Renato hakushine? Kwasababu hata hiyo game time hakupata. Rodriguez pia hakushine Bayern wala Madrid amekua hai kidogo Everton, Costa pia hajashine Bayern, Fabinho hakushine Madrid, Kovacic hakushine Madrid, Odegaard pia hajashine Madrid na sasa tupo naye.

Kuna wachezaji wengi wa kuwatumia kama mfano ku-back up madai yako na wengi wa kuwatumia ku-back up madai yangu.

Salah aliondolewa Chelsea. De Bruyne aliondolewa Chelsea. Lukaku aliondolewa Chelsea. Sancho aliondolewa City, Gnabry aliondolewa Arsenal, Malen aliondolewa Arsenal, Pogba aliondolewa United, Bellerin aliondolewa Barcelona, Pique aliondolewa United, De Ligt aliondolewa United the list goes on and on.

Nahofia kilichoipata Arsenal kwa Pepe? Ndiyo. Naona Renato ni enforcer mid ambaye atalazimisha timu imsogelee adui? Ndiyo. Naona tunamhitaji Renato? Ndiyo.
 
Hii arsenal ikimfunga Liverpool itabidi niache kushabikia mpira kwa muda wa wiki 3 mfululizo ....
 
Liverpool are too good man, tumekuwa na matatizo ya kuhold high line press per 90 (thanks to our lack of experience ) we will be forced to sit deep & liverpool is the best team to unlock deep block thru combinational play, counter pressing, crosses.

Thanks to Arteta's top structure, Pia Tomiyasu & Ramsdale tumeimprove sana technical level in build up play phases, kwa sasa tunaweza kuencounter liverpool's aggressive press lakini bado ni ngumu kwenda toe to toe the full 90. Mara nyingi tunakuwa mentally passive & forced deep hapo Liverpool will start to sustain pressure which is too big for us to handle.

Tukipata point hata moja nitashukuru sn, hii game inategemea sana Mentality ya wachezaji wa Arsenal itakuaje siku hiyo sababu quality & profile are there,

the issue ni aggressiveness to hold high line press within structure in full 90 min lakini kwa mechi kadhaa za nyuma tumewaona wachezaji kama Saka, ESR, Partey, Gabriel ambao kocha anawahitaji kuwa mentality monsters kwenye game za aina hii ndio wanakuwa passive in bad moments of the game, ukiwaheshimu wapinzani usitegemee makubwa.
 
Ushindi kwa sasa utakua determined na ishu nyingi lakini kubwa zaidi ni mentality ya timu.
 
hizo tetesi za arsenal kusajiri maveterani ni uzushi, arsenal mkakati wao ni wachezaji wasiozidi umri miaka 24
 
Injury updates ahead of Liverpool:

Sead Kolasinac Left ankle.
Sead is now starting his rehabilitation back in the UK and continues to be assessed.

Granit Xhaka Right knee.
Granit is now running outside with the current aim to be back in full training in January. #afc
 
Partey hoping to be fit for Liverpool on Saturday after working at Colney during international break. Possible update later today. If not, then Arteta speaking to media at 9am tomorrow.
 
Aubameyang is back training today at London Colney as normal. His early return from international duty was pre-planned with Gabon. No injury or anything like that. He's fine for Saturday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…