jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 675
- 998
Nadhan ni muda muafaka sasa wa kuwa anapost hili kosi la dunia kule kwenye thread ya manure.Unatizama kinacho endelea OT mda huu? Baada ya mechi tutumie msimamo.
Hii inaweza kuwa kweli maana naona kama kroenke kaanza kuwa serious. Anasema kwa sasa Arsenal inahitaji kuchukua UCL.Arsenal need a striker next summer with Laca and Nketiah leaving and Auba turning 33. β¬80m for Vlahovic is ridiculous given his deal ends in 2023, but based off his form this year, style of play and potential, it could be a brilliant move. Let's see how this rumour develops
Apparently we have agreed a deal with Florentina for Vlahovic but we've not reached terms with the player who's agent wants to hold out for a better deal
80M ni pesa nyingi kwa mchezaji ambaye mkataba wake hauna muda mrefu. Ikiwezekana kubaliana na mchezaji kwamba atajiunga mkataba ukiisha, kisha sajili ST wa kushika nafasi muda unasubiri mkataba uishe.Hii inaweza kuwa kweli maana naona kama kroenke kaanza kuwa serious. Anasema kwa sasa Arsenal inahitaji kuchukua UCL.
Kusema kweli sidhani kama Arsenal wanaweza kutoa mpunga wote huo... Vyanzo vinasema club zimeshakubaliana ila mchezaji mwenyewe na Arsenal hawajakubaliana terme and conditions... Mimi naamini kama hilo deal lipo kweli hicho kiwango cha fedha kitapungua80M ni pesa nyingi kwa mchezaji ambaye mkataba wake hauna muda mrefu. Ikiwezekana kubaliana na mchezaji kwamba atajiunga mkataba ukiisha, kisha sajili ST wa kushika nafasi muda unasubiri mkataba uishe.
Kama rumours zote ni sahihi nafikiri ndiyo maana Arsenal tunamconsider Luka Jovic kwa mkopo hivyo Jovic atashikilia nafasi mpaka Vlahovic atakapokuja.
Ligi ilipoanza mechi ya kwanza ilipoisha kila timu iligewa title yake.
Spurs alikua title contender.
United alikua title contender.
Arsenal alikua relegation contender.
Mechi ya pili na ya tatu bado kila timu ilishikilia title yake.
Fast forward mechi ya 10 tayari 'title contender' Spurs ameshafukuza kocha analazimisha wachezaji wasiondoke na amemuibia potential coach 'title contender' mwenzake na hana mpango wa kupambania kombe.
Mashabiki wa United wamesema mpaka sasa hawapo tena kwenye mbio za ubingwa. Same fans waliosema wao ni title contender, #OleOut imekua maarufu na inarudiwa rudiwa kuliko kumsifia Ronaldo.
Leo Arsenal tumekua presented na chansi nyingine ya kumruka 'title contender' mwingine. We are up against Watford, msimu nyuma fanbase ya Arsenal ilienjoy Watford kushushwa daraja baada ya maneno ya dharau ya Delaney, na ili ishuke ilibidi Arsenal ife kwa Villa, Arsenal ikafa kwa Villa, Delaney na Watford wakaenda championship.
Next season West Brom coach followed same path as Delaney, akaiita Arsenal ni mpambania kutoshuka daraja kama West Brom. Kilichofuatia ni kipigo kutoka kwa Arsenal na kushuka daraja.
Hii Watford ndiyo tunakutana nayo leo. Kinachotakiwa ni ushindi, ikiwezekana uwe ushindi mkubwa as hatuwezi jua safari hii Delaney na 'title contenders' watasema nini.
Predicted line-up against watford, I repeat predicted:
Ramsdale; Tomiyasu, White, Gabriel, Tierney; Partey, Sambi Lokonga; Saka, Lacazette, Smith Rowe; Aubameyang.
You are rightNadhani unamuongelea Troy Deeney, SiO hiyo uliyemuandika, ambaye sasa hivi yupo Birmingham
Leo?Aston Villa Dean Smith sacked
Leo?
Aston Villa Dean Smith sacked
Kamweneπ΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅
π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅
kamwene naona nafas ya kuwashusha nyumbuKamwene