Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilishaelezea ishu ya Ryan. Ukiangalia vizuri utakuta.
alikuwa wa kawida tu ndio maana arsenal hawakumuhitaji ingawa alikuwa free, unadhan ni wajinga waache wa bure wa katoe paun million 30 ?usawa huu, usilete mchezo na kazi za scouting mjomba
 
Mimi nimesema Tomiyasu ni CB anafosiwa kua RB.

Sawa sawa na Chambers.

Na wewe unakubali kwamba ndiyo ni CB ila anaweza kua RB.

Nafikiri hili limeisha.
 
Umeelewaje niliposema timu inayommiliki ndiyo huamua thamani?

So Chelsea walilipa 72M au hawakulipa?

Mendy amenunuliwa kwa 25M au hajanunuliwa?

Nani anaonyesha kiwango?
 
Mkuu siku zote mabeki wanaogopa sana mchezaji anaeshikilia mpira, anapiga chenga alafu ana speed ndo maana mchezaji wa aina hiyo akiwa na mpira utaona beki anakaba kwa kurudi nyuma ikiwa lengo ni kuziba nafasi ili asitoke mbio lkn pia akienda hovyo atapigwa chenga na kuachwa
 
alikuwa wa kawida tu ndio maana arsenal hawakumuhitaji ingawa alikuwa free, unadhan ni wajinga waache wa bure wa katoe paun million 30 ?usawa huu, usilete mchezo na kazi za scouting mjomba
🙄🙄🙄 Nimekwambia nilishaielezea hiyo ishu bob ama ukaicheki huko pages zilizopita au lete deal nyingine.
 
Mimi nimesema Tomiyasu ni CB anafosiwa kua RB.

Sawa sawa na Chambers.

Na wewe unakubali kwamba ndiyo ni CB ila anaweza kua RB.

Nafikiri hili limeisha.
unaposema anafosiwa unatudanganya , hivi unadhani arteta kumtoa loan bellerin halsfu replacement yake awe CB typically,huku ana chamber, cedric

huyo ni RB,CB, wala hafosiwi
 
hao ni average cb jombaa, sijawahi kukosa game ya arsenal , wangekuwa bora wasingekuwa second choice

ilikuwa wazi kabisa gabriel anatfutiwa parter wake , ilikuwa swala la muda tu hutowaona kikosini...imetimia
Arsenal ni miongoni mwa timu zilizofungwa mechi chache msimu uliopita.

Most of the time ilitumika partnership gani?

Two trophies were won ilitumika partnership gani?
 
Umeelewaje niliposema timu inayommiliki ndiyo huamua thamani?

So Chelsea walilipa 72M au hawakulipa?

Mendy amenunuliwa kwa 25M au hajanunuliwa?

Nani anaonyesha kiwango?
sijaona hoja hapo,wala haviendani na ishu ya ramsadale
 
unaposema anafosiwa unatudanganya , hivi unadhani arteta kumtoa loan bellerin halsfu replacement yake awe CB typically,huku ana chamber, cedric

huyo ni RB,CB, wala hafosiwi
Kwani wakati Chambers anawekwa RB watu tupo hapa tunashangaa mbona Cedric na Bellerin wapo wewe ulikua wapi?

Bellerin ana assist tayari Real Betis kabla ya majeruhi Bellerin alikua our most loved full back, amepoteza morali kua Arsenal that's it.

Ni kawaida mchezaji kuhama nafasi. Alaba ni case study rahisi.
 
unashangaa maana huelewi kinachofanyika ,mfumo wa mwalimu ni asymetrical... jifunze utaelewa tomiyasu hafosiwi
 
sijaona hoja hapo,wala haviendani na ishu ya ramsadale
Ni hoja yako ya kwamba kwakua Ramsdale kanunuliwa 30M basi automatically ni mzuri ndiyo nimeleta mifano ya Kepa na Mendy.

Kama hauwezi kua attention na vitu unavyoandika mwenyewe tunafanya nini sasa hapa?
 
Arsenal ni miongoni mwa timu zilizofungwa mechi chache msimu uliopita.

Most of the time ilitumika partnership gani?

Two trophies were won ilitumika partnership gani?
usitudanganye, tunachukua trophies na back 5, na msimu uliopita hao ndio walikuwa uchochoro ... wangekuwa ni cb wazuri ungewaona hata sasa, unataka kutuambia arteta hajielewi... msimu uliopita ilikuwa wazi Gabriel anahitaji parter na sio hao Holding na mari , holding ana moment zake , but poor consinstency
 
😅 😅 Sasa back 5 ni nini? Si lazima kuwe na 3 CBs? Sasa nakuuliza CBs gani walitumika unaniambia nadanganya.

Haya basi tufanye back 5 haina CB ni nani na nani waliunda ukuta wa mabeki?
 
Ni hoja yako ya kwamba kwakua Ramsdale kanunuliwa 30M basi automatically ni mzuri ndiyo nimeleta mifano ya Kepa na Mendy.

Kama hauwezi kua attention na vitu unavyoandika mwenyewe tunafanya nini sasa hapa?
wewe mm nakushauri kubali kulamba matapishi yako kama uliponda huo usajiri ukitaka hao kina onana ,

rams na huo mfano wa kina kepa ni maji na mafuta

unamzungumzia kipa aliyeshuka daraja mara mbili, halafu arteta anampambania , akiwa anauzwa paun million 40, hivi unadhan wachezaji wanaoshuka daraja wanauzwa bei kubwa? ni lazima awe na kitu cha ziada

kumbuka hapo kuna makipa wengine wa bei rahisi... why klabu itoe mill 30 ? usawa huu..lazima ukubali kuheshimu kazi za watu

mbona wengi tu wametubu na amekuwa kipenz cha mashabiki wakati anatambulishwa zilikuwa kejeri tu
 
Mkuu nakuelewa unachokisema ni kwenye 4231 ambayo buildup shape inakuwa 3-2-5 ila kwa 433 unahitaji kuwa na full backs wanaoenda High kukupa Width pande zote kama Liverpool. Arteta anasema ni muumini wa 433 ndio maana naona kuna tetesi za ujio wa right back kama Max Aarons.
 
😅 😅 Sasa back 5 ni nini? Si lazima kuwe na 3 CBs? Sasa nakuuliza CBs gani walitumika unaniambia nadanganya.

Haya basi tufanye back 5 haina CB ni nani na nani waliunda ukuta wa mabeki?
Huwez kucheza back 4 ya mari na holding uka achieve chochote, kuwafichia uzaifu wao unahitaji back 3 /5

na malengo ya arteta ni 4-3-3 hivo ilikuwa swala la muda kutowaona na kubaki Wachezaji wa carabao tu, mbona simple tu

hivi zile semi fainal na fainal ucheze na mari holding utabaki salama kweli

HUWEZ KUCHUKUA KOMBE LOLOTE BACK 4 YA HUYO HOLDING NA MARI, bora mwanangu holding ana moment zake kadhaa,

hizo fainal ulizochukua mari na holding akiwa ndani ni zipi... hao ni average player jombaa... au unadhani wanaonewa kusugua benchi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…