Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna ujuaji humu kwa baadhi ya Watu usio na maana. Mnaona Arteta kama hafundishi vyema au anashinda ki bahati. Nendeni nyie sasa mfundishe basi. Ooh kikosi chepesi, Hicho kizito ni kipi
Wewe habari za huko uliko
 
hutaki asifiwe kabisa,duh


na kuokoa michomo sio timu iko hovyo defence,
Utakua humjui Victor Valdes.

Alionekana kipa mzuri kumbe ukuta wa kina Puyol na uwezo wa Barca kumiliki mpira ulikua unambeba. Alivyoenda United nini kilifuata? Same na Allison.
 

Mkuu mimi naona Arteta ana mwelekeo mzuri sana. Hivi mkuu hebu nambie unakumbuka Ilikua lini kuona defence yetu na Golie wakiwa solid kiasi cha sasa? Je huoni mabadiliko yeyote makubwa yaliyofanyika baada ya kupoteza gemu zetu zile tatu za mwanzo?
Mkuu Arteta ameichukua timu toka kwa Unai Emery ikiwa haiko organized, with average players ambao hata mfumo wao kiuchezaji haukua bado organized. Arteta kafanya reform na kuleta wachezaji wake na sasa tunaona hata dalili njema mbele.
Sasa nani anambeza Rasmdale? Nani anambeza white, Gabriel, lokonga na wachezaji wote kwa kazi wanayofanya?
Mimi binafsi, mwanzo nilikua namponda Arteta ila kwa sasa naona jamaa ni bonge la kocha na tukikaza na wachezaji kujituma top 4 yetu. Tusapoti timu ila pia na kukosoa inapobidi tukosoe ila hadi sasa binafsi naona mwelekeo ni mzuri.
 

Sijakupangia Mkuu na kiuhalisia sijamtaja Mtu ila na mimi nimetoa maoni yangu. Iwapo umechukulia in a negative way. Sorry
 
Mabadikiko yapo Sana, like tumefungwa magoli 13 kwaichezo tuliyocheza hadi sasa na tumefunga magoli 12. That means we don't score enough. Pengine ameamua kuekeza nguvu kwenye ulinzi na kujisahaulisha kutafuta magoli.. ili ubebe unahitaji kunga zaidi ya unavyofungwa. Kwa hali ioivyo sasa hatufungi ushahidi ni -ve goal difference yetu.
 
Kumbuka magoli mengi kafungwa mechi tatu za mwanzo ambazo timu ilikuwa inajitafuta.
 
Katika hayo magoli 13 ya kufungwa, 9 tulipigwa zile mechi tatu mfululizo. So ukiangalia tangu tuanze kuonyesha improvement, tumeruhusu goli nne tu na kufunga 12.

Technically tunafanya improvement nzuri tangu kupigwa zile games tatu mfululizo. Negative goal difference isitufanye kufikiria kuwa bado timu ipo vibaya.
 
FACT
 
Mkuu labda utakuwa sio mfuatiliaji wa Arsenal au uelewa wako mfinyu kuhusu Squad rebuilding, kwenye Rebuild unaanza phase moja kwenda nyingine, tumeanza nyuma (Ramsdale,Gabriel,White,Nuno,Tomiyasu)

Kati tuna Partey, Odegaard na Lokonga lakini bado shughuli haijaisha hapa, kuna watu km Bruno G & Houssem Aouar tunaweza kuwapata, mbele tunahusishwa na Tammy & Calvert lewin. Hiyo ni first phase of rebuild sio kama timu imekamilika.
 
Ulisema umeacha kuangalia mechi za united. Umerudisha moyo nyuma?
Wala sijaangalia, nilicheki kosi na matokeo jana nilikuwa na vijana wa jangwani, mafundi wa mpira East and Central Africa, pira lililopigwa jana halijawahi kutokea hapa Tz, nawasihi wapinzani wetu waanze kuchukua tahadhari mapema na kama itawezekana waanze kufuata ushauri wa wizara ya afya, wavae barakoa pia wasisahau kuji sanitize pindi wanapokutana na Yanga mana kiukweli Yanga ipo na ina ua
 
Calvert Lewin na Tammy ni vinabo. Ukijichanganya kumfanya awe ST mkuu kazi unayo.

Aouar anaweza asisajiliwe tena price dropped ila Arsenal hakubid. Arteta anasimamia anachosema kwamba mchezaji anayemhitaji ni atakayekua proud kua Arsenal.

Same attitude kama Wenger. No wonder Zaha hawezi kusajiliwa Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…