Hiyo shida imekuepo mara nyingi sana.Lkn mbona muda ambao tumepata yale magoli mawili timu ilikuwa vzr sana ila baada ya hapo ikawa kama wameingiwa uoga wa kuchomolewa yale magoli ndo wakaanza kulinda na dk 15 za kwanza za kipindi cha pili ndo hali ilikuwa mbaya zaidi. Lkn kwangu mimi kilichokuwa kichwani mwangu ndo hicho kimetokea.
Mimi nadhani shida iko kwa kocha kuogopa kupoteza mechi maana siamini km ni wachezaji wanakata upepoHiyo shida imekuepo mara nyingi sana.
Mpaka half time tunawaongoza spurs 3. Second half tukarudi kukaba badala ya kuongeza intensity.
Same dhidi ya Crystal palace.
Hii ishu inatakiwa iwe addressed bwana
Let me differ kidogo na wewe sijawahi and will never happen kuwa niwe naangalia mechi kwa Mahaba kwani Arsenal alivyolost michezo 3 mfululizo kulikuwa na mahaba?in my opinion tangia Ramsdale aingie kwenye timu kuna changes kubwa sana ameileta kuanzia kuanzisha mashambulizi hadi kusave that's it hakuna cha uchambuzi wala nini that's the fuckin truthHuyo km kweli ni mwana-arsenal basi huwa anaangilia mechi kwa mahaba yaliyopitiliza hivyo anashindwa kufanya uchambuzi
Umeanza hasiraLet me differ kidogo na wewe sijawahi and will never happen kuwa niwe naangalia mechi kwa Mahaba kwani Arsenal alivyolost michezo 3 mfululizo kulikuwa na mahaba?in my opinion tangia Ramsdale aingie kwenye timu kuna changes kubwa sana ameileta kuanzia kuanzisha mashambulizi hadi kusave that's it hakuna cha uchambuzi wala nini that's the fuckin truth
Utukome wewe pepo umesahau kichapo chako cha juzi .Ghafla Arse8 mmepanda mpaka nafasi ya 5.
Hongereni sana majirani, mmepambana.
Wasare tu.Leo ni bora united ashinde kuliko spurs
Mkuu, Wachezaji wengi kwenye Starting X1 ni young & inexperienced (Saka, ESR, White, Gabriel, Lokonga).Binafsi sioni hii ishu kuwa addressed ndani ya muda mfupi.Hiyo shida imekuepo mara nyingi sana.
Mpaka half time tunawaongoza spurs 3. Second half tukarudi kukaba badala ya kuongeza intensity.
Same dhidi ya Crystal palace.
Hii ishu inatakiwa iwe addressed bwana
Sina hasiraUmeanza hasira
Umerudi Arsenal au unapita njia?Sina hasira
Ukipelekwa weka Link na mimi nije.0659 445750 Mwenye Group La Wasap La Arsenal Aniunge