Lkn mbona muda ambao tumepata yale magoli mawili timu ilikuwa vzr sana ila baada ya hapo ikawa kama wameingiwa uoga wa kuchomolewa yale magoli ndo wakaanza kulinda na dk 15 za kwanza za kipindi cha pili ndo hali ilikuwa mbaya zaidi. Lkn kwangu mimi kilichokuwa kichwani mwangu ndo hicho kimetokea.