Pamoja na kwamba tomiyasu ni CB lkn tangu aje Arsenal kuziba gep la RB amefanya vzr sana. ukiangalia movement zake zinanikumbusha kipindi cha bellelin katika ubora wake au kipindi cha ubora wa bakary sagna. Na kitu kinachomfanya awe vzr kwenye hiyo position ni speed na wepesi, kwa speed aliyonayo Tomiyasu huwezi amini km ni CB japo binafsi sikuwahi kufuatilia kwenye timu aliyotoka pamoja na performance ya position aliyokuwepoNilitaka CB awe Holding na Gabriel au Mari na Gabriel.
Arteta na Will Jr wanasema partnership ni White na Gabriel.
White alikuja kwa ajili ya kusaidia attack.
Hilo kalithibitisha.
Anapiga pasi (6 yards) na anaweza kusprint kusogea kati.
Ila ni mapema kusema amenishawishi.
Bado nasema Tomiyasu ile nafasi anafosiwa. Yule ni CB mambo ya Chambers yanajirudia.
Speed aliyonayo Tomiyasu ni ndogo ukimlinganisha na Upamecano (CB) Varane (CB) Militao (CB)Pamoja na kwamba tomiyasu ni CB lkn tangu aje Arsenal kuziba gep la RB amefanya vzr sana. ukiangalia movement zake zinanikumbusha kipindi cha bellelin katika ubora wake au kipindi cha ubora wa bakary sagna. Na kitu kinachomfanya awe vzr kwenye hiyo position ni speed na wepesi, kwa speed aliyonayo Tomiyasu huwezi amini km ni CB japo binafsi sikuwahi kufuatilia kwenye timu aliyotoka pamoja na performance ya position aliyokuwepo
Ni kweli mkuu ila kumbumbuka adaptation iko kila sehemu so wakati anafanyiwa transformation ya kuwa RB atazoea na atakuwa vzr zaidi kwa kuwa atafurahia kucheza hiyo position.Speed aliyonayo Tomiyasu ni ndogo ukimlinganisha na Upamecano (CB) Varane (CB) Militao (CB)
Yaani ni kwamba CB anaweza kua na pace ila atakua hana traits nyingi za fullback. Umemuona Tavares (Natural fullback) jinsi alivyocheza no way CB akifosiwa kua fullback ataperform kiwango cha natural fullback.
Leno over Ramsdale any day of the week.Castr, Arteta's talent identification is something else
Angalia Ben white ball playing ability
Angalia Ramsdale's distribution na umri wake ni 23, huyu GK alikuwa Shelfield utd sio?
Tomiyasu ni CB kama unavyosema ila muangalie amekuwa inverted full back simple tu.
View attachment 1987674
SanaNdugu zangu Gunners bado tuna mizigo mingi ya kuondoa kikosini.
Pepe, Nketiah, Elneny, Kolasinic ni mizigo. Kama huyu Pepe anasikitisha kiukweli habadiliki wala hakui, uchezaji wake ni ule ule.Sana
Pepe, Nketiah, Elneny, Kolasinic ni mizigo. Kama huyu Pepe anasikitisha kiukweli habadiliki wala hakui, uchezaji wake ni ule ule.
Hizi games reserves huzitumia kuprove ili kupata regular minutes.Pepe, Nketiah, Elneny, Kolasinic ni mizigo. Kama huyu Pepe anasikitisha kiukweli habadiliki wala hakui, uchezaji wake ni ule ule.
Penati?Jirani zetu chelsea maji marefu, on the verge of elimination
izi ndo uefa zenu pambanieni na muache midomoJirani zetu chelsea maji marefu, on the verge of elimination