Unamaanisha united haina top mid?🤔Project over results, mashabiki huwa hatujui hili sababu mpira upo emotional zaidi, tunapenda kuona matokeo bila kuona underground project inayofanyika.
United kwa kocha huyuhuyu km wanapata Stability kwenye midfield wanaweza kucompete kwenye top flight, ngoja tuone January window, sure watasajili a top mid.
Mazingira ya Pogba france/Juve hayafanani na alivyo united, Tatizo anagive ball away in every ten seconds akipressiwa, kitu kinachomnyima sifa ya kuwa kwenye pivot, angalia goli la 5 jana,Unamaanisha united haina top mid?[emoji848]
Pogba starting XI France.
Fred starter Brazil. Anamuweka benchi mpaka Casemiro.
De Beek 2019 kabla ya kwenda united alikua ni nominee wa Ballon D'Or.
Unamaanisha nini unaposema top mid?
Assuming hauna top mid na wewe ni kocha mwenye mbinu nzuri what do you do? Utaendelea kutumia formation inayoexpose hiyo weakness au utatafuta formation mbadala?
Talk about tactical inept.
Kwa ninavyoona mimi Saul hana pace ni kama Mctominay.Mazingira ya Pogba france/Juve hayafanani na alivyo united, Tatizo anagive ball away in every ten seconds akipressiwa, kitu kinachomnyima sifa ya kuwa kwenye pivot, angalia goli la 5 jana,
France pogba akicheza pivot anakuwa na press resistant midfielders beside him (Kante & Matuidi 2018 WC) wanampa uhuru wa kucheza to his best , United yupo Matic too slow, lacks intensity, Fred huyu ni Similar profile
Ole alikuwa anaijua shida ya United ila akapuuza sababu ya Ronaldo, kibarua kitaota nyasi.View attachment 1986862
Now ushawakosa mid uliowataka means una back up plan ya kuficha weakness ya defense. Makocha wengi huresort kwenye 3 4 3 ili kufanya kati pasipitike. (Hapa nimeassume kwamba ni kweli mid zina matatizo kama wengi wanavyoamini)Mazingira ya Pogba france/Juve hayafanani na alivyo united, Tatizo anagive ball away in every ten seconds akipressiwa, kitu kinachomnyima sifa ya kuwa kwenye pivot, angalia goli la 5 jana,
France pogba akicheza pivot anakuwa na press resistant midfielders beside him (Kante & Matuidi 2018 WC) wanampa uhuru wa kucheza to his best , United yupo Matic too slow, lacks intensity, Fred huyu ni Similar profile
Ole alikuwa anaijua shida ya United ila akapuuza sababu ya Ronaldo, kibarua kitaota nyasi.View attachment 1986862
Mkuu, pengine Will jr ni Gary Neville😂😂Kwa ninavyoona mimi Saul hana pace ni kama Mctominay.
Camavinga ana akili ya kutembea uwanja mzima kama Pogba.
Hivyo kwa maoni yangu hao wawili wasingekua dawa considering una same profiled players.
Tunaassume Donny aliletwa kuaddress ishu ya mid ila hagewi namba. Amemlilia Sancho msimu mzima kaletewa, hampi namba.
Ninadoubt uwezo wa ole kimbinu na kimahitaji.
Anamuuza Lukaku akisema ana strikers wengi. Kisha anamnunua Ighalo. Kabla supu ya Ighalo haijapoa anamleta Cavani (babu) supu ya Cavani ipo mezani anasajili Ronaldo (babu mwingine)
Pengine mm sijui underground project inavyofanyika.Project over results, mashabiki huwa hatujui hili sababu mpira upo emotional zaidi, tunapenda kuona matokeo bila kuona underground project inayofanyika.
United kwa kocha huyuhuyu km wanapata Stability kwenye midfield wanaweza kucompete kwenye top flight, ngoja tuone January window, sure watasajili a top mid.
Amekuwa kituko aisee😂😂
Unajua shida inakuja kuna baadhi ya system zinawaondoa majina makubwa mfano 343 Bruno anakaa wapi?Now ushawakosa mid uliowataka means una back up plan ya kuficha weakness ya defense. Makocha wengi huresort kwenye 3 4 3 ili kufanya kati pasipitike. (Hapa nimeassume kwamba ni kweli mid zina matatizo kama wengi wanavyoamini)
Kwa pesa ya saul na ya camavinga hata ingetolewa isingevunja kanuni ya ffp. M pretty sure united haikua na plan ya kumsajili yeyote ni basi tu kwavile ronaldo alitaka kwenda City
UkorofiHii thread iliharibiwa na vijana kutoka majukwa hasa ya Chelsea na Manchester United! Walishindwa kujadili kupitia majukwaa ya vilabu hivyo mijadala yao ikahamishiwa hapa.
Leo hii imefikia hatua sio thread tena ya Arsenal bali mahali uchambuzi wa matukio hufanyika.
Tusiwalaumu, ni kwa sababu waliona huku ndio tunajadili mambo ya kueleweka.Hii thread iliharibiwa na vijana kutoka majukwa hasa ya Chelsea na Manchester United! Walishindwa kujadili kupitia majukwaa ya vilabu hivyo mijadala yao ikahamishiwa hapa.
Leo hii imefikia hatua sio thread tena ya Arsenal bali mahali uchambuzi wa matukio hufanyika.
Hatukatai ila kutumia siku nzima kujadili ya UTD au CHELSEA ni kuliondolea jukwaa letu hadhi yake stahikiTusiwalaumu, ni kwa sababu waliona huku ndio tunajadili mambo ya kueleweka.
Lakini tunajadili mpira.Hatukatai ila kutumia siku nzima kujadili ya UTD au CHELSEA ni kuliondolea jukwaa letu hadhi yake stahiki
Lovely commentLakini tunajadili mpira.
Pia kuna mashabiki wachache wanaoandika katika huu uzi ili kuupa uhai uzi hakuna namna bali ni kujadili mpira kwa ujumla wake.
Tomiyasu ni CB???Nilitaka CB awe Holding na Gabriel au Mari na Gabriel.
Arteta na Will Jr wanasema partnership ni White na Gabriel.
White alikuja kwa ajili ya kusaidia attack.
Hilo kalithibitisha.
Anapiga pasi (6 yards) na anaweza kusprint kusogea kati.
Ila ni mapema kusema amenishawishi.
Bado nasema Tomiyasu ile nafasi anafosiwa. Yule ni CB mambo ya Chambers yanajirudia.
Ni Cb ndiyoTomiyasu ni CB???