Ila wakuu hebu tuwe wakweli, hivi kwa dunia ya sasa unaweza kufananisha na club gn hii timu, angalia front line inavyotisha, alafu bado wakawepo kina Pogba, Sancho, Cavani, Matic c hatari hii, sema mbinu tu za kocha ila kikosi tunacho wakuu au nyie mnasemaje, hebu tazama hapa, hii c kufuru hii wakuu
View attachment 1981348