Wewe unanunua jezi, unanunua tiketi au unatupigia kelele humu?We nae una unaa mwingi sasa fans kwenda kwenye mechi ndio wanamkubali coach?wenzetu wananunua tickets za msimu mzima na sijawahi kuona fans wa timu yoyote hawaendi uwanjani hata kama timu ni ya 20
Suala la kwenda uwanjani na kumkubali coach ni vitu viwili tofauti na hata mimi ningekuwa ulaya ningeenda mechi zote za Arsenal uwanjani but moyoni nshahamia PSG na mechi zao ningekuwa nazifuatilia na hata siku napata nafasi naenda uwanjani kabisa
Kroenke ameiua Arsenal completely fans wamepiga kelele wee but bado wanaenda uwanjani means kuwa kwenda uwanjani na kuwa against na mtu ni 2 different things subiri pale Arsenal atakavyoendelea kupokea vipigo fans ujumbe watakaotuma may be ni kwenda uwanjani ikifika dk ya 70 wanasepa zao
Ninazo jezi karibia zote za away hadi ya msimu huu but sizivai ni aibu kuvaa jezi ya Arsenal mtaani kwa kipindi hiki
Mzee baba leo karata yako unampa Nani Kati ya Chelsea au Man city?Wachezaji wote ni wazima kuelekea mechi na mtani wa jadi spurs.
Ni habari njema
Chelsea.Mzee baba leo karata yako unampa Nani Kati ya Chelsea au Man city?
Jezi za kariakoo lazima uone aibuNinazo jezi karibia zote za away hadi ya msimu huu but sizivai ni aibu kuvaa jezi ya Arsenal mtaani kwa kipindi hiki
Spurs akipona draw, tuna back 5 Ramsdale,White,Gabriel,Tomi, Tierney.Wachezaji wote ni wazima kuelekea mechi na mtani wa jadi spurs.
Ni habari njema
Wewe jamaa bhn, kilichoijaza akili yako unakijua mwenyewe tuKwa fixture alizocheza Chelsea up to now(Liverpool Arsenal Spurs Aston villa)plus hii ya leo(Manchester City)sipatii picha Arsenal angeambulia points ngapi?
Unapiga mayowe hata ya kariakoo hauna
Una unaa sana from now on I am not going to argue with a fool
Itapendeza sana, utakuwa umekua mwanaune sasa sio kujililisha humu kila dakika.Una unaa sana from now on I am not going to argue with a fool
Nuno akirudia komedi ya kumrudisha nyuma Kane basi chansi za ushindi zitazidi kuongezeka.Spurs akipona draw, tuna back 5 Ramsdale,White,Gabriel,Tomi, Tierney.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mambo ya kike kike kama Arteta na Edu kwa hili sishangai,wewe ndio fool sio Jukwaa hiliItapendeza sana, utakuwa umekua mwanaune sasa sio kujililisha humu kila dakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaniquote sasa [emoji16]Una mambo ya kike kike kama Arteta na Edu kwa hili sishangai,wewe ndio fool sio Jukwaa hili
Spurs hatusumbui huyu, 4 2 3 1 Xhaka partey katikati, Lacazette anamaliza CF tunamliza mtu.[emoji16]Nuno akirudia komedi ya kumrudisha nyuma Kane basi chansi za ushindi zitazidi kuongezeka.
Natamani tucheze 3 5 2
Tujaze mid kati kati na turuhusu Auba na Laca wacheze kwa pamoja.
Kocha anaweza mpanga Lokonga na Partey kwenye mid sio mbaya ila Xhaka ingependeza zaidi.Nuno akirudia komedi ya kumrudisha nyuma Kane basi chansi za ushindi zitazidi kuongezeka.
Natamani tucheze 3 5 2
Tujaze mid kati kati na turuhusu Auba na Laca wacheze kwa pamoja.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Gwancomputerarsenal na Will jr please stop what you are doing here. Mmekuwa mkiishi kwenye familia moja ya Arsenal hivyo sio sahihi kuendeleza malumbano.
Tumekuwa pamoja na hii timu miaka yote, hivyo tumeshiriki kuona mafanikio sawa sawa na matokeo yake mabaya ambayo sasa watu wameshindwa kuyavumilia.
Mpira ni furaha, ni burudani so let football lead us.
Arsenal forever [emoji123][emoji123][emoji123]
Shida ya Xhaka ni sideway passes na back passes.Kocha anaweza mpanga Lokonga na Partey kwenye mid sio mbaya ila Xhaka ingependeza zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app