Arsenal (The Gunners) | Special Thread

 
Naona fans wanakomaa Lacca aanze ahead of Auba, kuna ukweli kuwa form ya Auba sio nzuri kiasi hicho?
 
Rapper wa Tanzania aitwae Songa ameamua kuonesha kwa vitendo na msisitizo kwamba amehama kutoka kuwa Shabiki wa Arsenal na sasa ni Shabiki wa Manchester United ambapo kwa msisitizo ameachia na wimbo mpya kabisa unaitwa 'Nimehamia Manchester United"

Siku chache zilizopita Songa aliwaomba Mashabiki wa Manchester United kumpokea baada ya kuchoshwa na matokeo mabovu ya Timu aliyokua akiishabikia na kuipenda ya Manchester
 
Kitu huwezi kufany duniani bas nipamoja na kuham timu,, atalud tu

Nazan ni stress tu, itakuwa ni team ronaldo

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
ComputerArsenal atoe nyimbo 'nimeamia Psg'
 
Ni sawa tu.

Siku anahamia united kesho kutwa hivi Young Boys akawapiga United.

Mechi inayofuata Wakashinda kwa late goal dhidi ya WestHam.

Mechi inayofuata wakapigwa na kutolewa Carabao dhidi ya Westham.
 
PSG kila game ni point 3 tumeshindwa basi ni point 1
Katika uzi wenu hakuna hata anayepost kikosi siku mkiwa mnacheza πŸ˜…

Unajua timu ikiwa na mastar wengi ultimate formation hua ni 4 3 3 sielewi kwanini Poch anacheza 4 2 3 1. Tuchel kwa kujua ana mastar wengi ikabidi awe anacheza 4 2 4, ili Icardi, Mbappe, Di Maria na Neymar wote wapate namba.

Ila hii formation ilimdhalilisha Tuchel kwa united kwakua forwards ni mastar wakawa wagumu kukaba pia unakua prone kwa counter na forwards zenye speed. Akadhalilika uefa ila ligi ya ndani ilikua unajua psg anashinda.

Tuje kwa Poch πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kabla ya mechi unaona PSG ina odds 1.03 kushinda dhidi ya timu yoyote ya ligue 1 hiyo timu nyingine inagewa odds 15 kushinda.

Siku ya mechi psg ataanza kupigwa chuma. Atahaha kuchomoa mpaka dakika ya 88. Dk ya 91 hivi timu pinzani inapata red dk ya 93 psg inapata goli la 2. Magoli yanafungwa na beki Hakimi.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Haka katimu katapigwa na city live. Am sure hata mechi hauangalii.
 
City Chelsea
City psg
City Liverpool

Arsenal tunarotate kikosi kwenye Carabao, first team ni wiki hadi wiki. Uhakika Msimu huu tutakusanya pointi nyingi kuliko msimu uliopita.
 
Mechi za PSG zote zikosi kuangalia but kwa Poch I think kashindwa kumanage big players sio kocha wa type hiyo na I know hana maisha marefu and akija Arsenal for example ataleta mabadiliko makubwa sana sababu ana kipaji cha ukocha kwa hasa timu ambazo hazina Big players,kuna macoach ambao ukiwapa timu kama PSG wanatusua na wengine watashindwa hata kama yupo class ya juu but all in all najua Poch hamalizi msimu huu

PSG ni timu kubwa haina mambo ya kike kike coach ukiunder perform unafukuzwa sio Arsenal coach hana ujuzi na hata fans wa Arsenal 80 percent hawamtaki but Management inaogopa kuvunja mkataba kisa itamlipa hela nyingi that's nonsense
na every season fans wanaumia na kulia lia kama wewe no changes tena wanazidi kuwa vibaya zaidi
 
Unasema Poch aje Arsenal? πŸ˜… πŸ˜… Hakuna namna anaweze kuja Arsenal, hata mou hawezi tena kuja Arsenal kwakua tayari kashajihusisha na spurs.

Tuaasume uelewa wako juu ya Poch ni mzuri kama ulivyoandika kwamba timu ikiwa na wachezaji wa kawaida anaipa mafanikio.

Amefundisha spurs miaka mingapi? Amewapa makombe mangapi? πŸ˜… πŸ˜…

Yeye mwenyewe Poch amewahi kubeba kombe gani kabla ya kwenda farmers league? πŸ˜…

Kane chini ya Poch ametakwa na klabu gani? πŸ˜… Je chini ya mou?

Unataja mtu wa kawaida halafu unamuona wa ajabu?

Halafu haujui historia ya klabu yako nini? Tuchel hakufukuzwa kwa vile hakua anapata makombe alifukuzwa kwavile walikua na makubaliano ya kuchukua CL.

Leo mnacheza na nani?
 
Juzi Arsenal kaingiza Fans 50K mechi ya carabao midweek na wanasupport timu mwanzo mwisho, mechi ya Burnley nadhani uliona jinsi gani Fans wapo tayari kupigana kwa ajili ya Arsenal ya Arteta,

hizo data za 80% ni huko kwenu tu mkuu ila London watu wananunua ticket wananunua jezi na ndio wenye timu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nae una unaa mwingi sasa fans kwenda kwenye mechi ndio wanamkubali coach?wenzetu wananunua tickets za msimu mzima na sijawahi kuona fans wa timu yoyote hawaendi uwanjani hata kama timu ni ya 20

Suala la kwenda uwanjani na kumkubali coach ni vitu viwili tofauti na hata mimi ningekuwa ulaya ningeenda mechi zote za Arsenal uwanjani but moyoni nshahamia PSG na mechi zao ningekuwa nazifuatilia na hata siku napata nafasi naenda uwanjani kabisa

Kroenke ameiua Arsenal completely fans wamepiga kelele wee but bado wanaenda uwanjani means kuwa kwenda uwanjani na kuwa against na mtu ni 2 different things subiri pale Arsenal atakavyoendelea kupokea vipigo fans ujumbe watakaotuma may be ni kwenda uwanjani ikifika dk ya 70 wanasepa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…