Tuko na arteta ndio manager wetu ,alipandishwa cheo huyu kutoka head coach kama TT na kuwa manager ,kiufupi tuko nyuma yake ,hujuma zingine atukubaliAkiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
Uzi wenu wa PSG umeuona au nikakutag?I am fine soon tunaingia uwanjani
Don't compare Arsenal with those giants niliowataja hao muda wote wapo Top kwenye EPL na kubeba makombe, Arsenal ambayo miaka 2 haijamaliza above 8 position unawezaje kujilinganisha nao?Unaendeleaje?
Naujua thanksUzi wenu wa PSG umeuona au nikakutag?
Karibu tenaNaujua thanks
Hii pia inahitaji uweke akiba ya maneno, kwa kifupi ni kwamba chochote unachokisema dhidi ya Arsenal weka akiba ya maneno, kama wewe ni Arsenal unapolalamika sana na kingereza chako cha interview haisaidii kitu, na kama wewe si shabiki wa Arsenal na hicho kingereza chako ungetafuta la kufanya kama kuanzisha pre form One, maana useme au usiseme haisaidii bali ungebaki mtazamaji.Akiba ya maneno?unataka kuqualify kwenda european then unafungwa 5 na Manchester City unafungwa 2 na Chelsea tena home?then unascore 1 goal each kwa timu ambazo position zao mpaka sasa ni 19 na 20?we said earlier Arteta hataipeleka Arsenal popote pale, that's the fuckin truth kuwa Arsenal will not participate in any European competition next season under the same coach ,management and players
Shuleni ulienda kusomea Uchanganyaji wa mambo!! Picha za mademu zinaingiaje kwenye Gunners!!Mnyama TT View attachment 1945342
Naona Lyon kashakupiga la kwanzaNaujua thanks
Stupid nonsenseHii pia inahitaji uweke akiba ya maneno, kwa kifupi ni kwamba chochote unachokisema dhidi ya Arsenal weka akiba ya maneno, kama wewe ni Arsenal unapolalamika sana na kingereza chako cha interview haisaidii kitu, na kama wewe si shabiki wa Arsenal na hicho kingereza chako ungetafuta la kufanya kama kuanzisha pre form One, maana useme au usiseme haisaidii bali ungebaki mtazamaji.
Pochettino ajitathmini but I am sure Management hawatamchelewesha soon atajikuta kwao Argentina sio kama Management ya Arsenal ilivyokaa kikikekikeNaona Lyon kashakupiga la kwanza
π Sa ilikuaje mkamuacha Tuchel ambaye ana rekodi ya makombe mkampa timu kocha ambaye hajawahi kushinda kombe lolote maishani?Pochettino ajitathmini but I am sure Management hawatamchelewesha soon atajikuta kwao Argentina sio kama Management ya Arsenal ilivyokaa kikikekike
PSG 2 -1 Lyon Full TimeSa ilikuaje mkamuacha Tuchel ambaye ana rekodi ya makombe mkampa timu kocha ambaye hajawahi kushinda kombe lolote maishani?
Ukubwa wa kikosi na idadi ya magoli hata haviendaniPSG 2 -1 Lyon Full Time
PSG kumfukuza kocha ni kitu cha kawaida mambo ya kike kike hakuna huku mzazi viongozi wa Arsenal wanaangalia faida sio results that's why die hard fans mmebakia kutukana watu wanaosema ukweli hata kama ni blood fans wa Arsenal mnamuona Mamluki huku timu inazama Baharini Goodnyt sasa napata usingizi maridadi
Safi bro, nilikupa namba unitafute bro but naona kimya ..shamba liko wapi mkuu Mimi nipo mwanza naweza kusogea hapo kuja kujionea mwenyewe.Mambo vipo, nipo Shamba
Ukubwa wa kikosi na idadi ya magoli hata haviendani
Kikosi tembo matokeo sisimiziUkubwa wa kikosi na idadi ya magoli hata haviendani
Tafuta la kufanyaStupid nonsense
Kila siku Next season kutakuwa na hili msimu ukianza kunakuwa hakuna jipyaNext season tutakuwa na Saliba tunaongeza CM, Winger, CF. hapo vipi wakuu kenye Rebuild hiyo.
π ππ Sa ilikuaje mkamuacha Tuchel ambaye ana rekodi ya makombe mkampa timu kocha ambaye hajawahi kushinda kombe lolote maishani?
Arsenal ni ya Misimu miwili mbele, usijitie machungu kuwaza the impossible.Kila siku Next season kutakuwa na hili msimu ukianza kunakuwa hakuna jipya