Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We unashangaa nini! mbona tushaongea sana udhaifu wa Leno kwenye system ya Arteta, we jamaa mpira huwa hujui ajabu na kujifunza hutaki. ahahahahaah

Na kuna taarifa za leno kuuzwa akaja GK mwingine next season.
Leno huyu huyu?
 
Hii game inaingia kwenye rekodi kama miongoni mwa games ambazo Arteta kamaliza kipindi cha kwanza akiwa anaongoza.

Burnley wako vizuri kulinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…